JAFFO AONYA WATAKAOKWAMISHA JITIHADA ZA GREEN VOICES KUPAMBANA NA MAZINGIRA

  Selemani Jaffo, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi) akisikiliza maelezo kutoka kwa mama Abia Magembe kuhusu bidhaa zinazotokana na zao la muhogo. Kushoto kabisa ni Mratibu wa Mradi wa Green Voices kutoka Hispania, Alicia Cebada na kulia ni Mratibu wa mradi huo nchini Tanzania, Secelela Balisidya. NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani …

ESRF YAANDAA MJADALA WA BIASHARA NA UWEKAZAJI KATI YA TANZANIA NA CHINA

  WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Mpango ametaka kuwapo na uratibu wenye maslahi mapana katika biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China. Alisema hayo wakati akifungua mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China. Alisema mahusiano yaliyopo kati ya Tanzania na China ambayo ni ya kihistoria yasitumike vibaya …

Global peace Foundation Tanzania: Vijana wanaohitimu shule na vyuo waepuke kujiingiza katika matukio ya uvunjivu wa amani.

Taasisi ya Global peace Foundation Tanzania imewataka vijana wa kitanzania kushiriki katika kulijenga taifa pindi wanapohitimu masomo yao wakiwa shule na vyuoni ili kuepuka kujiingiza katika matukio ya uvunjifu wa amani. Global peace Foundation Tanzania  wakiendeleza mfululizo wa warsha zao za kuwajenga vijana leo wakishirikiana na kituo cha vijana wa Tandale Youth Development Center (TYDC)  kimeendelea kutoa warsha kwa kuwapa …

Walimu waombwa kuisaidia NMB kutoa elimu kibenki

            WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewashauri walimu kuisaidia Benki ya NMB kutoa elimu ya masuala ya kibenki na hasa umuhimu wa kujiwekea akiba kwa jamii wakiwemo watoto ili iweze kuwasaidia hapo baadaye. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Profesa Eleuther Mwageni …

Viongozi wa Dini Watakiwa Kutumia Taaluma zao Kumsaidia Rais Magufuli

  Mchungaji Dk. William Kopwe wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania  (KKKT) Dodoma, akifundisha katika kongamano hilo.    Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya maombi hayo, Askofu Mkuu wa Naoith Pentekoste Church, Dk. David Mwasota akizungumza katika kongamano hilo.  Mchungaji Timoth Joseph kutoka Nigeria alifundisha somo la watu kuwa waaminifu katika kila jambo.  Mafundisho yakiendelea.    Usikivu katika kongamano …