Mradi wa Mbogamboga wa Wanawake Manispaa ya Morogoro…!

  Mkurugenzi wa mawasiliano wa taasisi ya Mfuko wa Wanawake Afrika, Anna Salado (kulia), akipakua mboga zilizopikwa kiasili na kuungwa kwa nazi wakati yeye na ujumbe wake walipotembelea mradi wa ukaushaji wa mboga na matunda wa wanawake wa Kata ya Mzinga mkoani Morogoro hivi karibuni. Kushoto ni Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro, Milikieli Mansweat Mahiku. Mratibu wa mradi wa Green Voices kutoka taasisi ya Mfuko …

Mkutano wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wafunguliwa Mkoani Mwanza

  MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella, akizungumza kwenye Ufunguzi wa Mkutano wa Robo Mwaka wa Chama cha Majaji na Mahakimu JMAT, tawi la Mwanza na Geita, unaofanyika leo kwenye ukumbi wa jengo la NSSF Jijini Mwanza. Mongella amewataka wajumbe wa mkutano huo kujadili kwa uwazi masuala ya maadili kwa watumishi wa umma na kwamba yawe ajenda ya kudumu …

Kongamano la Uwekezaji Lafanyika Mkoani Mrorogoro

   Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Stephen Kebwe akizungumza katika kondamano la uwekezaji linalofanyika mkoani Mrorogoro.  Afisa Kumbukumbu wa LAPF, Florian Mbassa akitoa maelezo kuhusu Mfuko wa LAPF kwa mmoja wa washiriki wa kongamano hilo.  Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Dk. Stephen Kebwe akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kondamano la uwekezaji mijini Mrorogoro.   Mkurugenzi wa Benki ya CRDB …