“Tukiwa tunasherehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa mwaka 2016, tunajivunia kuwa sehemu ya maendeleo na mafanikio yako ya Familia yako,tunaahidi kukupatia suluhisho la masuala ya kibenki ambayo si tu kuongeza kasi ya ukuaji wa biashara zako, lakini pia kukuhamasisha wewe kufanikiwa zaidi,” ilisema taarifa hiyo ya CRDB. CRDB iliwashukuru wateja kwa kuichagua Benki ya CRDB na kwamba matumaini yao ni kuendelea kufurahia huduma zao …
Rais Kabila wa Kongo Azungumza na Rais Dk Magufuli Ikulu Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 4, 2016. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulisha viongozi kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Joseph Kabila Ikulu jijini Dar …
Miradi ya Kunusuru Kaya Masikini Arusha Yawavutia Wadau
Afisa Mwandamizi kutoka Idara ya Kimataifa ya Mfuko wa misaada ya OPEC unaofadhili miradi mbalimbali chini Mfuko wa Tasaf nchini,Solomon Amieyeofori kutoka Vienna ,Austria(kushoto)akiwa na maafisa wa Mfuko wa Tasaf nchini kukagua miradi katika Jiji la Arusha. Ujumbe huo ukakagua ujenzi wa madarasa mawili katika Shule ya Msingi Azimio jijini Arusha. Afisa Mwandamizi kutoka Idara ya …