Bomoa Bomoa Yawakumba Wakazi Pembezoni mwa Mto Msuka

Zoezi ka ubomoaji likiendelewa ambapo limesimamiwa na mgambo wa halmashauri hiyo ya Manispaa ya Ilemela. Mto huu unapaswa kupanuliwa zaidi na kujengewa kuta maana wakati wa mafuriko huwa unapitisha maji mengi yanayosababisha mafuriko kwa wakazi wa eneo hili la Kilimahewa. Miongoni mwa kuta zilizoingia eneo la hifadhi ya mto Msuka baada ya kubobolewa. Miongoni mwa kuta zilizoingia eneo la hifadhi …

Tamasha la Kusifu na Kuabudu Kanisa la EAGT Lumala Mpya

Kushoto ni mwimbaji wa nyimbo za injili hususani za kusifu na kuabudu, Yusuph Nghumba, akiimba katika tamasha hilo. Kulia ni mkewe. Licha ya kwamba mwimbaji huyo anakabiriwa na tatizo la kutoona lililomkumba ghafla ukubwani, lakini bado anamsifu na kumuabudu Mungu katika roho na kweli na anaendelea kubarikiwa licha ya jaribu hilo la kimwili kwani ipo siku atauona ukuu wa Mungu. Wa …

NEC Yapongezwa kwa Programu ya Elimu ya Mpiga Kura

Baadhi ya Wanachi wakifuatilia ufunguzi rasmi wa maadhimisho ya Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere wilayani Bariadi mkoani Simiyu leo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Muhagama akipata maelezo kuhusiana na Elimu ya Mpiga Kura alipotembelea Banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) …

NMB Mlimani City Wasaidia Watoto Yatima Kituo cha Chakuwama

   Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mlimani City, Seka Urio akiwa amembeba mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo  cha Yatima cha Chakuwama kilichopo Sinza wakati wa hafla fupi ya kutoa msaada iliyofanyika Dar es Salaam leo.  Katibu Mtendaji wa Kituo hicho, Hassan Hamisi (kulia), akitoa historia fupi ya kituo hicho.  Baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo, wakiwa wamewabeba watoto katika hafla …

Rais Magufuli Amfagilia Bakhresa, Aipa Masharti TANESCO…!

       Waziri wa viwanda,  Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na katibu Mkuu wake Dkt. Adelhelm Meru wakiongea na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa Group Mzee Said Salim Bakhressa wakati wakimsubiri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya …

Mkutano Mkuu UTPC Wafanyika Mkoani Mwanza…!

  Rais wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC, Deo Nsokolo, akifungua Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC. Mkutano huo unajadili masuala mbalimbali ikiwemo Mpango Mkakati wa UTPC kwa mwaka 2016/20 uliofadhiriwa na Shirika la Sida. Wajumbe wa bodi, UTPC, wakiwa kwenye mkutano huo. Mwenyekiti wa Mara Press Club, Mugini Jacob (kushoto) …