Waziri Lukuvi Azinduwa Kamisheni ya Tume ya Mipango na Matumizi ya Ardhi

   Mh. William Lukuvi (MB), Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizungumza. Dr. Stephen Nindi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango na Matumizi ya Ardhi Tanzania akitoa utambulisho wakati wa uzinduzi wa Kamisheni ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi. Mwenyekiti wa Kamisheni Mstaafu Bw. Abubakar Rajabu akizungumzia hatua walizofikia wakati akiwa …

Bombadier ya ATCL Yatua Arusha kwa Majaribio…!

  Moja ya Ndege mpya ya serikali iliyokodishwa kwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Bombadier  Dash 8 Q400 ikitua kwa mara ya kwanza katika uwanja mdogo wa ndege wa Arusha wakati maafisa wa Mamlaka ya Anga (TCAA) walipokua wakifanya ukaguzi kabla ya kuanza rasmi safari za kibiashara nchini. Maafisa wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) wakilakiwa katika uwanja mdogo …

Wilaya ya Ukerewe Yaneemeka na Meli Mpya Nyehunge II

“Naamini kivuko hiki kitakuwa ni mkombozi kwa wakazi wa Ukerewe kwani uhitaji wa wakazi wa Ukerewe kuhitaji huduma nzuri na salama ya usafiri ni mkubwa hivyo tunaamini  kivuko hiki kitatumika kwa maeneleo ya wanaUkerewe”. Alisema Mongella na kuongeza kwamba hiyo ni fursa kwa wafanyabiashara wa Ukerewe kutumia Kivuko hicho katika shughuli mbalimbali za kibiashara. Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John …

Mtandao wa Wanawake, Katiba na Uongozi Wamtembelea Makamu wa Rais

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake, Katiba na Uongozi Profesa Ruth Meena ambaye pamoja na ujumbe wake uliomtembelea Makamu wa Rais na kuzungumza naye Ikulu jijini Dar es Salaam.   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Mtandao …

Makamu wa Rais Suluhu Hassan Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Wodi ya Wazazi Amana

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutbia kwenye hafla fupi ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa wodi tatu za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es salaam leo Octoba 11,2016. Kampuni ya Amsons Gropu imefadhili ujenzi wa wodi za wazazi katika hospitali ya Wananyamala, Amana-Ilala na Temeke, wodi za …