Zanzibar, jina kubwa!

Na Rungwe Jr. Watanzania tunazidi kufarijika tunapoona majina ya nchi zetu yanatumika maeneo haya ya ughaibuni, kwa watu kufanya biashara na kujikimu maisha yao. Pamoja na hayo ndugu zangu, hii ni changamoto kwetu wote! Kwani Club kama hii si ingekuwa poa sana kama

Rais Kikwete afungua barabara ya Usagara Geita

Rais Dr. JakayaMrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Barabara ya Usagara Geita leo asubuhi.Barabara hiyo yenye urefu wa kilometa 90 imejengwa kwa thamani ya zaidi Tshs.78bn/ zilizotolewa na serikali ya Tanzania.Wengine katika picha, Kutoka Kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro,Katibu Mkuu Ujenzi Balozi Herbert Mrango,Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli, Mbunge wa Misungwi ambaye pia ni naibu Waziri …

Siku Deogratius Temba alipofunga ndoa na Sylivia

MAI 21, 2011 itabaki kuwa kumbukumbu ya milele kwa mwanahabari Deogratius Temba mkewe Sylvia Rwanyamva baada ya kufunga pingu za maisha. Ndoa hiyo ilifungwa katika Kanisa Katoliki la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadaye kufuatiwa na sherehe kabambe iliyofayika katika Ukumbi wa King Palace Sinza Kamanyora. Picha mbalimbali  ni Deogratius Temba akiwa na mkewe Sylvia katika pozi eneo la Mlimani City jijini …

Bia tamu bwana, muone Rais Obama!

US President Barack Obama stepped into one of his ancestor’s local bars, Ollie Hayes’ bar in Moneygall Co. Offaly, where he was welcomed with a perfectly served Guinness. (Picha kwa hisani ya Full Shangwe Blog)

TGNP sasa ‘kuichambua’ bajeti 2011/12

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO Mada: UCHAMBUZI WA MWONGOZO WA BAJETI 2011/12 Lini: Jumatano Tarehe 25 Mei, 2011 Muda: Saa 09:00 – 11:00 Alasiri MRAGHBISHI: TGNP MAHALI:Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo WOTE MNAKARIBISHWA