KUFUATIA changamoto ya uhaba wa ajira hususani kwa vijana nchini, wametakiwa kuwa wabunifu na watafutaji wa fursa za kujiajiri badala ya kuilalamikia serikali kuwa haitatui changamoto hiyo kwa muda mrefu. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel wakati akizungumza katika Kongamano la Vijana lililobeba kauli mbiu ya “Wajibu wa vijana katika …
Global Peace Waeleza Namna ya Kudumisha Amani Katika Familia
KILA baada ya Mwezi kikundi cha Tandale Youth Development Centre hufanya Jukwaa la Vijana ambapo vijana hukutana na kujadili mambo mbalimbali yanayohusiana na wao. Katika jukwaa la mwezi huu kulikuwa na mada inayosema: “Nafasi ya mtoto wa kike katika jamii” ambapo majadiliano yalilenga zaidi kutambua nafasi hizo, changamoto wanazokutana nazo watoto wa kike pamoja, namna ya kuzitatua na jinsi gani mtoto …
Daraja Hatari Tabata Kimanga Lahatarisha Maisha ya Watoto
Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Amani, Jonathan Mlay akimuonesha mwandishi wa mtandao huu, daraja la miti wanalolitumia lililojengwa kwa nguvu za wananchi kwa ajili ya kukabiliana na changamoto hiyo. Na Dotto Mwaibale WANANCHI wanaoishi mpakani mwa Tabata Kimanga na Chang’ombe katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wameomba kujengewa daraja ili waweze kutumia muda mfupi …
Matukio Picha ya Makamu wa Rais Samia Kuelekea Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa Mlandizi wakati akiwa safarini kuelekea mkoani Dodoma ambako atakuwa na ziara ya kikazi ya siku 4. Wakazi wa Mlandizi wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye alisimama na kuwasalimia wananchi hao akiwa njiani kuelekea …
Kilimanjaro Wapanda Miti Kumuenzi Baba wa Taifa, Julias Nyerere
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadiki akiongozana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce Msiru wakati alipowasili katika chanzo cha maji cha Shiri kwa ajili ya zoezi la kuotesha miti ikiwa ni kuadhimisha miaka 17 ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwl Julius Nyerere. Wakuu wa wilaya za Hai …