WAANDISHI WA HABARI WATEMBELEA MTERA!

Mhandisi Mkuu wa Uendeshaji kutoka kituo cha kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mtera, Julius Chomolla akitoa maelezo kuhusu kipimo cha kuonyesha maji yamejaa katika eneo hilo. Katika kiuto hicho kiwango cha juu cha kuzalisha umeme ni mita 698 wakati cha chini cha kuzalisha nishati hiyo ni mita 690 na jana (juzi) kipimo hicho kilionyesha mita 690.74, ambapo. Bwawa hilo linazalisha …

Mh. Pinda alivyotembelea maonyesho ya Wizara ya Nishati na Madini Bungeni Dodoma

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata  maelezo kutoka kwa Fundi Sanifu Bi Jemina Sadatale kutoka Mradi wa Umeme Jua wa KKKT Mpwapwa unaofadhiliwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) mara alipotembelea banda hilo kwenye maonyesho ya Wizara ya Nishati na Madini yanayoendelea katika viwanja vya bunge mjini Dodoma. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza kwa makini mtaalamu Bw. Godwin Msigwa kutoka  …

MKUTANO WA NAPE MJINI MBEYA WAFUNIKA, SITTA, SENDEKA, DK. MWAKYEMBE NA PROF MWAKYUSA WAMPA TAFU YA NGUVU

Wabunge wa mkoa wa Mbeya, Sitta na Nyarandu wakimuongoza Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kuingia uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya kwenye mkutano wa hadhara Maelefu ya watu kumtano kwenye uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya Msafara wa pikipiki ukipokea msafara Nape akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya Nape akiendelea kuhutubia kwa hamasa kubwa Mwenyekiti wa …

Makamba na Shekifu, uso kwa uso Bungeni!

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu  ya Bunge ya  Nishati na Madini, Januari  Makamba akizungumza jambo na kusalimiana na Mbunge wa Jimbo la Lushoto Henry Shekifu  mara baada ya kuwasilisha taarifa ya  kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2010/2011 pamoja na makadirio ya  mapato na matumizi  ya wizara hiyo kwa mwaka 2011/2012. PICHA NA MAGRETH …

Matukio Mkutano wa Wahariri Arusha uliodhaminiwa na SBL

Katibu wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF), Boniface Meena (katikati) akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda baada ya awamu ya kwanza ya mkutano wa wahariri wa habari nchini unaoendelea mjini Arusha. Baadhi ya wadau wanaohudhuria mkutano wa wahariri mjini Arusha wakiwa katika mapumziko na kutafakari mada zilizotolewa katika awamu ya asubuhi …

Mkutano wa wahariri Arusha waanza

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda aliyesimama akizungumza katika mkutano wa wahariri mjini Arusha jana. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri nchini, Absalom Kibanda, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Serengeti Breweriers (SBL), Jaji Marck Bomani, na wa kwanza kulia ni Katibu wa Jukwaa hilo ambaye pia ni mmoja wa …