Waziri wa Fedha Aipongeza NMB Kuwajali Wajasiriamali Wadogo
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Philip Mpango ameipongeza Benki ya NMB kwa kuwajali wajasiliamali wadogo na wakati. Waziri Mpango ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizinduwa maonesho ya mabenki na taasisi za kifedha katika ukumbi wa Mlimani City. Alisema Serikali inatambua mahitaji makubwa ya kufanya maboresho na kuziwezesha …
Yono Aution Yabomoa Zaidi Nyumba 150 za Wakazi wa Tegeta Dar
Wananchi wa Tegeta A Kata ya Goba wakiwa wamesimama chini ya mti Dar es Salaam jana, baada ya nyumba zao kubomolewa na Kampuni ya Udalali ya Yono kwa madai ya kuvamia eneo hilo. Hata hivyo wamekanusha kuvamia eneo hilo. Zaidi ya nyumba 150 zilibomolewa. Wananchi hao leo wanaandamana kwenda kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo kupeleka malalamiko yao. …
Simba Cement Wasaidia Madawati Shule za Sekondari Tanga
KUFUATIA Uhaba wa madawati katika shule za msingi halmashari ya jiji la Tanga na wanafunzi kusomea chini, Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement kimetoa madawati 100 kwa shule tatu. Shule hizo ambazo zimefaidika na mpango huo ni Magaoni, Kiruku, Mkombozi na Martini Shamba zote za halmashauri ya jiji la Tanga. Akizungumza wakati wa makabidhiano mbele ya Mkuu wa Wilaya ya …
Maadhimisho ya Miaka 71 ya Umoja wa Mataifa…!
OKTOBA 24 kila mwaka Umoja wa Mataifa hufanya maadhimisho ya kuzaliwa kwake. Mwaka huu mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kwa kushirikiana na serikali, wadau wa maendeleo na vijana wataadhimisha miaka 71 ya uwapo wa Umoja wa Mataifa kwa staili ya aina yake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa katika mkutano wa waandishi wa habari na Wizara ya Mambo …
Taasisi ya Demokrasia na Utawala Bora Yawanoa Wanahabari
Baadhi ya wanahabari Jijini Mwanza, wakijadiliana wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kuandika habari zenye tija katika jamii kuhusiana na sekta ya madini nchini. Pia wanahabari hao walipata wasaa wa kuwasilisha tathimini yao kuhusiana na ziara mbalimbali ambao wamezifanya kwenye maeneo yenye wawekezaji wa madini Kanda ya Ziwa ikiwemo mkoani Shinyanga. Wa kwanza kushoto ni Mkufunzi wa mafunzo …