Naam, Wahenga waliwahi kusema “Mapenzi ni kuvumiliana.” Ni neema iliyoje kufika fainali ukiwa bado umemshika mkono umpendaye kama tuonavyo wazee hao pichani. Picha na mpiga picha maalum wa thehabari, Ujerumani
Rais Kikwete, Dk. Bilal wamuaga Jenerali Mayunga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete na Makamu wake Dk. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ulinzi, Hussein Mwinyi, Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Mawaziri wastaafu, Joseph Sinde Warioba na Salim Ahmed Sailm, wakiwa katika shughuli ya mazishi kuaga mwili wa marehemu Luteni Jenerali mstaafu, Silas Mayungi kwenye Viwanja vya Kambi ya Jeshi …
Dk. Nchimbi atembelea Banda la Hazina Maonesho ya Nane Nane Dodoma
Wizara wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi (katikati) akiwa na Kikundi cha Sanaa za Maonesho Tanzania (KISAMATA) cha jijini Dar es Salaam jana wakati kikundi hicho kikielimisha wananchi wa Dodoma waliotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya wakulima ya nanenane mara baada ya Waziri huyo kutembelea banda la HAZINA mjini Dodoma. (Picha na HAZINA na …