September 3, siku ambayo watanzania wa North Carolina watakuwa kwenye shamra shamra za siku nzima. Unashauri wa uitengee ngoma yake siku hii ambayo itaanza asubuhi mpaka usiku wa manane. Asubuhi 9am mpaka 1pm; tutakuwa na brunch itakayo fanyika La Quinte hotel. Ambayo itahudhuriwa na balozi na maofisa mbalimbali. Jioni 5pm utakuwa ni usiku wa gala ambao una mambo mengi ndani …
Timu ya Soka ya ‘Bongo Starz’ yaendelea na mazoezi! Pt 1
Na Muandishi wetu, Los Angeles Timu ya Watanzania waishio kusini mwa California jana Jumamosi walikutana kwa mara nyingine tena, kwa ajili ya mazoezi kabla ya mechi za mataifa mbalimbali kuanza hapo September 3, 2011 na kumalizika tarehe hiyohiyo. Mashindano hayo yatafanyika jijini Los Angeles, California. dev.kisakuzi.com, ilikuwepo uwanjani kushiriki na pia kushudia jinsi timu ilivyokuwa inafanya mazoezi ya nguvu katika upande …
Dk. Bilal asaini makubaliano ya itifaki za SADC kudhibiti fedha chafu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maafikiano yaliyotokana na itifaki ya pamoja kwa nchi za SADC inayohusu udhibiti wa fedha chafu na katiba ya ushirikiano wa majeshi ya Polisi kwa nchi wanachama wa SADC yaliyoafikiwa katika mkutano wa 31 wa Viongozi wa Nchi wanachama wa SADC mjini Luanda Angola Agosti …
Waweza bahatisha kinachoendelea hapo?
Picha na Mpiga picha maalum wa Thehabari.
Bidhaa mbalimbali zitokanazo na zao la mhogo
Maandalizi ya awali ya zao la mhogo kabla ya kutumika kutoa bidhaa anuai za chakula. Miongoni mwa bidhaa zitokanazo na mhogo-hizi ni biskuti na tambi. Pichani ni Bi. Asumpta Mihanjo wa Songea akiwa ameshika kifaa kinachotengeneza bidhaa hizo. Mkurugenzi wa kikundi cha Iman (Imani group) akinadi bidhaa mbalimbali zinazo tokana na zao la mhogo ambazo zinatengenezwa na kikundi hicho, kikundi …