UNESCO Yapinga Sheria Zinazowabana Waandishi wa Habari

WAKATI Bunge la Tanzania wiki hii linatarajiwa kujadili na kupitisha muswada wa habari, Shirika la Umoja wa mataifa la Elimu, sayansi na Utamaduni (UNESCO) limehadharisha juu ya uwapo wa sheria zinazotishia uhuru wa vyombo vya habari.   Akizungumza katika kongamano linalohusu ukatili kwa waandishi ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kupinga ukatili kimataifa kwa waandishi wa habari, Mkuu wa idara …

Semina ya Malengo ya Dunia ya UN Yafanyika Chuo cha Mandela

  Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela Profesa Karoli Njau akifafanua jambo katika ziara ya Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) kwa nchi za Afrika Mashariki, Roeland Van De Geer alipotembelea chuo hicho. Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) kwa nchi za Afrika Mashariki Roeland Van De Geer akisalimiana na Kaimu Makamu Mkuu wa …

East Africa Development Bank Yaipa NHC Mkopo wa Bilioni 65

  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (East Africa Development Bank) Bi Vivienne Yeda mara baada ya kusaini mkataba wa mkopo wa Dola za Kimarekani Milioni 30 sawa na shilingi Bilioni 65 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa majengo ya 711 Kawe jijini Dar …

Mchapalo wa SBL Kuadhimisha Miaka 20 ya Kuanzishwa

  Mkurugenzi Mkuu wa SBL Helene Weesie akitoa hotuba ya  ufunguzi kwa wageni waliohudhuria tafrija mchapalo ya maadhimisho ya miaka 20  tangu kuanzishwa kwa bia ya Serengeti Premium Lager (SPL)  mwaka 1996.Pia kulizinduliwa chapa mpya ya Bia hiyo  .hafla hiyo ilifanyika siku ya alhamisi  katikaHOTELI ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam