Matukio Tamasha la Castle Lite Unlocks, Leaders

Msanii Vanessa Mdee akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.   Msanii Casper Nyovest akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.   Msanii toka Marekani FUTURE akiwa jukwaani kwenye tamasha kubwa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo.   .Msanii toka Afrika kusini Casper Nyovest akifanya mahojiano na waandishi wa habari wakiongozwa na Taji Liundi pembeni yake usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha kubwa  la …

Kongamano la Raha za Pwani Lavutia Wengi Maryland, USA

Msanii wa Bongo flava na mfalme wa miduara AT, akiongelea utamaduni wa kiswahili na raha za pwani kwenye jopo la kongamano la raha za pwani kwa lengo la kudumisha na kutangaza utamaduni wa Mswahili na lugha yake na baadae kuonesha onesho kali ya nyimbo zake zilizotamba na zinazoendelea kutamba kwenye anga ya bongo na kimataifa. Kongamano hilo linaloambatana na tamasha …

HALMASHAURI YA IGUNGA YATAKIWA KUTENGA BAJETI KUINUA KILIMO

   Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya hiyo, Costa Ulomi, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo. Kulia ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Bestina Daniel akizungumza wakati akielezea madhumuni ya mafunzo hayo.  Mwakilishi wa Mkurugenzi wa wilaya hiyo, ambaye ni mtunza fedha, Gordon Dinda akizungumza kwa niaba ya mkurugenzi.  Mwakilishi wa Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo, …

TAWLA Yatoa Mafunzo Kushughulikia Watoto Walio Katika Ukinzani na Sheria

Mrakibu wa Polisi Mkoani Tanga (SP), Bahati Ngoli akifungua mafunzo ya jinsi ya kushughulika na watoto walio katika ukinzani na Sheria ulioandaliwa na chama cha wanasheria wanawake Tanzania (Tawla) Mkoani Tanga kwenye ukumbi wa Hotel ya Nyumbani mjini Tanga.    Juma Abdallah kutoka Tawla Mkoani wa Tanga akitoa mada kuhusu wajibu wa familia na jamii kuzuia uhalifu wa watoto.   Mwanasheria …

TGGA YAWAAGA GIRL GUIDES WA RWANDA, UGANDA NA MADAGASCAR

  Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Anna Makinda akimkabidhi  zawadi Girl Guides kutoka Uganda, Rachel Baganyire wakati wa hafla ya kuwaaga Girl Guides kutoka Rwanda, Uganda na Madagascar kwenye Hoteli ya Courtyard Protea, Seaview, Dar es Salaam. Girl Guides hao walikuwa nchini kwa muda wa miezi 6 kwa programu ya kubadilisha uzoefu katika …

RC SHINYANGA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA MKOA WA SHINYANGA

    Alhamis Julai 20,2017 Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack amekutana na wawekezaji na wafanyabiashara wa mkoa wa Shinyanga kwa lengo la kufahamiana na kujadili mambo kadha wa kadha ili kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika mkoa wa Shinyanga.   Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga na kukutanisha wawekezaji na wafanyabiashara kutoka …