Afisa Mtendaji wa Wilaya ya Tandika Hija Kipeleka akizindua Rasmi kampeni ya Binti wa kitaa katika Wilaya ya Temeke, ambapo aliwashukuru wanaoendesha kampeni hiyo na kuahidi kushirikiana nao katika kupinga mimba na ndoa za utotoni. Mkurugenzi Mtendaji wa CVIF George David Maarufu kwa jina la Ambassador Angelo akielezea kwa kina kampeni ya Binti wa kitaa ilivyo wasaidia mabinti wengi na …
Prof. Ndalichako Afunga Mkutano Uboreshani Sekta ya Elimu Nchini
Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Aga Khan, Profesa JoeLugalla akielezea mambo mbalimbali waliyokubaliana katika mkutano huo jinsi wadau wanavyotakiwa kusaidiana na serikali kuboresha elimu nchini. Washiriki wakisikiliza kwa makini wakati Profesa Ndalichako akifunga mkutano huo uliofanyika kwenye Hoteli ya Morena. Profesa Lugalla akimpongeza Profesa Ndalichako Dk. Mkumbo akitoa neno la shukrani kwa Profesa Ndalichako na wadau wengine wa …
Shirika la WOTESAWA Latambulisha Mradi Sauti ya Watoto Wafanyakazi Nyumbani
Na BMG Benedicto amesema Mradi wa Sauti ya Watoto Wafanyakazi wa nyumbani umelenga kuhamasisha jamii kuondoa aina zote za unyanyasaji na unyonyaji dhidi ya watoto wafanyakazi wa nyumbani ambapo wanajamii watajengewa uelewa juu ya vitendo vyote vya unyanyasaji na unyonyaji vinavyomuathiri mtoto mfanyakazi wa nyumbani ili kushiriki katika kuvitokomeza. Aidha ameongeza kwamba mradi huo utaongeza ushiriki wa mtoto …
Majadiliano Muswada wa Habari Bungeni
Mwenyekiti wa Jukwaa la Habari Tanzania (TEF), Theothil Makunga (kulia), akiwa na wajumbe wa jukwaa hilo, Jane Mihanji (katikati) baada ya kutoka bungeni Dodoma , kusikiliza mwenendo wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari. Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge akiongoza majadiliano hayo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiwasilisha bungeni Dodoma, Muswada wa …
Rais Magufuli Atoa ya Moyoni, Ni Katika Mazungumzo na Waandishi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli leo ametoa ya moyoni alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu aingie madarakani. Mazungumzo hayo ambayo yanaenda sambamba na maadhimisho ya mwaka mmoja tangu aingie madarakani, Rais Magufuli amesema kwa changamoto zilizopo nafasi …
Nyuki Wavamia Mechi ya Ruvu Shooting na African Lyon…!
‘Ni kama wanasema ‘Nyuki hao bado wapo tuendelee kujificha chini ya viti” Watu wazima chini ya viti ‘Chezea nyuki wewe’