Watoto wanaolelewa katika kituo cha KCVC wakiimba wimbo maalumu. Afisa Mtendaji Mkuu wa Bayport Tanzania, John Mbaga akiongea na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha KCVC. Mlezi kituo hicho mama Anna Mkapa akitoa hotuba kwa wageni waalikwa Mkuu wa wilaya ya Kibaha mh Asumta Mshama akiongea na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi …
Naibu Spika Dk Tulia Asakata Mpira wa Pete na Timu ya Bunge
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson (kulia), wa timu ya Bunge akidaka mpira ulioelekezwa golini kwake walipocheza na timu ya Wilaya ya Chato katika mchezo wa kirafiki wa netiboli uliofanyika hivi karibuni kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Ofisi ya Taifa ya Takwimu Yatoa Taarifa Mfumuko wa Bei..!
Na Beatrice Lyimo, MAELEZO -DAR ES SALAAM OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa taarifa kuhusu mfumuko wa bei wa Taifa ambapo mfumuko wa bei wa taifa kwa mwezi oktoba, 2016 umebaki kuwa asilimia 4.5 kama ilivyokuwa mwezi Septemba mwaka huu Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mtakwimu Mkuu wa Ofisi ya Taifa takwimu, …
RC Awataka Ustawi wa Jamii Kushirikiana na Polisi Kudhibiti Ukatili
Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha One Stop Centre katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, Sekour Toure, hii leo. Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella, akizindua jengo la kituo cha One Stop Centre katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, Sekour Toure. Mkuu wa mkoa wa Mwanza …
TEA Yahamasisha Uanzishwaji Mifuko ya Elimu Mkoani Kigoma
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Joel Laurent akihamasisha uanzilishwaji wa Mifuko ya Elimu kwa Uongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Kasulu, Mkoa wa Kigoma. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania Joel Laurent na mwanafunzi wa Shule ya Msingi Nengo iliyopo Kibondo yenye wanafunzi wenye mahitaji maaluum. Elimu maalum ni moja kati ya miradi inayaotekelezwa na Mamlaka ya …