Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 11 Novemba, 2016 amewaongoza viongozi na wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samuel John Sitta aliyefariki dunia tarehe 07 Novemba, 2016 katika hospitali ya Technical University of Munich nchini Ujerumani. Mwili wa …
Matukio Katika Picha Bungeni Leo Mjini Dodoma
Wabunge wakijadiliana jambo walipokuwa wakiingia bungeni Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang’ata (kulia), akijadiliana jambo na Mbunge wa Viti Maalumu, Joyce Sokombi kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Dk. Hamisi Kigangwalah akijibu maswali ya wabunge Mbunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Iringa, Ritta Kabati (kushoto) …
Bohali la Kampuni ya 7 General Lateketea kwa Moto..!
Vikosi mbalimbali vya zima moto kutoka Serikali na Makampuni binafsi wakiendelea na juhudi za kuuzima moto huo. Baadhi ya watu mbalimbali wakiendelea kushuhudia tukio hilo la kuteketea kwa Bohari. Moto Mkubwa ukiendelea kuwaka. Kamanda wa Polisi Mkoa wa kipolisi wa Kinondoni Suzan Kaganda akizungumzia kwa ufupi tukio hili na kusema kuwa kwa sasa hawezi zungumza chochote mpaka moto utakapozimwa kabisa. …
Mungai Alivyoagwa Ukumbi wa Karimjee
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Joseph Muungai katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam jana Novemba 10,2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na waombolezaji waliofika kuaga mwili wa Marehemu Joseph Muungai katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam jana …
Rais Magufuli Alivyowatembelea Wagonjwa Muhimbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mke wake mama Janeth Magufuli aliyelazwa katika Hospitali ya Muhimbili wodi ya Sewa Haji akipatiwa Matibabu jana Novemba 10,2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akimjulia hali Waziri wa Zamani Balozi Ramadhani Mapuri ambaye amelazwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali …
JKT Oljoro Watoa Madawati 537 Halmashauri ya Serengeti
Kaimu Kamanda wa Kikosi cha JKT Oljoro Meja Robert Kabanda akikabidhi Madawati 537 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mhandisi Juma Hamsini. Kaimu Kamanda wa Kikosi cha JKT Oljoro Meja Robert Kabanda akikabidhi Madawati 537 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mhandisi Juma Hamsini. Kaimu Kamanda wa Kikosi cha JKT Oljoro Meja Robert Kabanda akikabidhi Madawati …