Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza na baadhi ya wananchi waliokuja kupata huduma Makao Makuu ya Idaya ya Uhamiaji wakati wa ziara yake ya siku moja aliyoifanya leo Kurasini jijini Dar es Salaam. Waziri Mwigulu akiwasili kwenye mradi wa ujenzi wa nyumba za makamishna wa Uhamiaji zinazojengwa Kijichi jijini Dar es Salaam kuzikagua. …
Wasaidizi wa Kisheria Wanawake Wafanya Usafi Sokoni…!
Ofisa Ufuatiliaji na Tathmini wa Shirika la Equality for Growth (EfG), Shaban Rulimbiye (kushoto), akiwaongoza kufanya usafi Soko la Temeke Sterio Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliwa ni kuunga mkono jitihada za Rais Dk. John Magufuli katika suala zima la usafi wa mazingira. Msaidizi wa kisheria katika soko hilo, Batuli Mkumbukwa akifanya usafi. Wasaidizi wa kisheria wakiwa …
Mama Samia Suluhu Kuongoza Kampeni ya Matibabu Saratani ya Matiti
KAMPENI hiyo itazinduliwa kesho katika Uwanja wa Furahisha Jijini Mwanza na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na baadaye kufanyika kwa siku mbili bure. Kutoka kushoto ni Dk. Mary Charles ambaye ni Makamu wa Rais MEWATA, Mganga Mkuu mkoa wa Mwanza, Dk. Leonald Subi, Rais wa MEWATI, Dk. Serafina Mkuwa, Mwenyekiti Kamati ya Kampeni na Mjumbe kamati tendaji MEWATA, Dk. …
Harusi ya Bw. Louis Munishi na Mkewe Bi. Inviolata Yavutia Dar
iliyopita jijini Dar es Salaam. ” width=”800″ height=”533″ /> Bwana harusi Louis Munishi akipata picha ya kumbukumbu na mkewe Bi. Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam.[/caption] …
Dk. Shein Opens a Norwegian-Funded Pediatric Ward at Mnazi mmoja Hospital- Zanzibar
President of Zanzibar, Dr Ali Mohammed Shein delivers his keynote speech to mark the official opening of Children’s ward at Zanzibar Mnazi Mmoja Hospital. Zanzibar Ministry of Health’s Principal Secretary, Dr Juma Malik Akil briefing the Chief Guest and audience on the Norwegian-funded Children’s ward. President of Zanzibar, Dr Ali Mohammed Shein keenly follows a speech by the …
Wanawake Watathimini Mwaka Mmoja wa Rais Dk Magufuli
WANAWAKE kupitia Mfuko wa Wanawake Tanzania wamekutaka katika mkutano na kutoa tathimini ya mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli. Mkutano huo ulioshirikisha wanawake kutoka mikoa mbalimbali umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania, TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika …