Waziri Kairuki Mradi Ujenzi Nyumba za Watumishi wa Umma Kigamboni

   Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Ujenzi  wa Nyumba za Watumishi wa Umma (WHC) Fredy Msemwa (katikati), akitoa taarifa kwa Waziri  wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angella Kairuki (kushoto), kuhusu mradi wa ujenzi wa nyumba za watumishi wa Umma zinazojengwa Gezaulole Kigamboni jijini Dar es Salaam. Waziri Kairuki alikuwa katika ziara ya siku moja kutembelea miradi …

Mollel Foundation Yaandaa Matembezi Kukabiliana na Vifo vya Watoto

  Na Bakari Madjeshi   KATIKA kuhakikisha kuwa vifo vya Watoto Njiti vinapungua hapa nchini, Taasisi ya Doris Mollel Foundation imeandaa Matembezi ya Hisani ili kukabiliana na vifo vya watoto hao kupungua. Matembezi hayo yenye kauli mbiu ya “Okoa Maisha ya Mtoto Njiti” yatafanyika Visiwani Zanzibar kutokana na Wanawake wengi visiwani humo kukabiliwa kwa asilimia kubwa na suala hilo la Watoto kuzaliwa …

Kampuni ya TIGO Yapeleka 4G LTE Same, Kilimanjaro

    Katibu Tawala wa Wilaya ya Same Sospeter Mabenga, akihutubia wakati wa kuzindua mtandao wenye kasi wa 4G LTE, hafla ambayo ilifanyika jana mjini Same.    Wafanyakazi wa Kampuni ya simu za mononi ya Tigo wakishuhudia uzinduzi wa mtandao wa 4G LTE, uliofanyika jana mjini Same.   Baadhi ya wakazi wa mji wa Same wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni …

Tume Haki za Binadamu Yaishukuru UN Kuzisaidia Taasisi za Kisheria

  TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeshukuru Umoja wa Mataifa kwa msaada wake mkubwa inaotoa kwa taasisi zisizo za kiserikali za kujengea uwezo wa kuweza kutetea haki za binadamu nchini Tanzania.   Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mtendaji wa THBUB, Mary Massay wakati wajumbe wa nchi za Nordic ambao ni wafadhili wakubwa wa programu za Umoja …