Washiriki wa Matembezi ya hisani ya kuadhimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani yaliyotaribiwa na Taasisi ya Doris Mollel wakiwa na bango lenye ujumbe wa kuadhimisha siku hiyo, iliyoadhimishwa kitaifa Mjini Unguja, Zanzibar Novemba 19, 2016. Matembezi hayo yalianzia katika Uwanja wa Amani kupitia Uwanja wa Tumbaku na kuishia Viwanja vya Maisara. Baadhi ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar …
Mtandao Unaotetea Marekebisho ya Sheria Usalama Barabarani Wawakumbuka Wahanga wa Ajali
MTANDAO WA WADAU KUTOKA ASASI ZA KIRAIA UNAOTETEA MAREKEBISHO YA SHERIA NA SERA IHUSUYO USALAMA BARABARANI TANZANIA. SIKU YA KIMATAIFA KUWAKUMBUKA WAHANGA WA AJALI ZA BARABARANI 20 NOVEMBA, 2016. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Matukio ya ajali za barabarani yamekuwa na athari nyingi hapa nchini kiuchumi na kijamii. Vilevile matukio haya ya ajali za barabarani yamekuwa yakiwasababishia wananchi …
PASADA Yaomba Bajeti wa Waathirika na Virusi vya UKIMWI
SERIKALI imeombwa kutengeneza bajeti ya kusaidia taasisi mbalimbali zinazojishughulisha na kusaidia watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI ikiwa ndio njia ya kuhakikisha huduma kwa waathirika hao zinaendelea kuimarika. Imeelezwa kuwa ingawa serikali ndiyo inayotoa dawa za kufubaza makali ya UKIMWI ARVs, haitengenezi bajeti kwa ajili ya wafanyakazi wanaohudumia waathirika kisaikolojia na kitiba. Hoja hiyo imetolewa na Meneja mradi wa …
Kituo cha Uwekezaji Tanzania Chakutanisha Wawekezaji Wabubwa
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Migodi ya Acacia, Brad Gordon akizungumza kuhusu uwekezaji wa kampuni yake, nchini pamoja na uzalishaji pia utekelezaji wa miradi ya kijamii kwenye maeneo ya migodi ya kampuni hiyo, wakati wa mkutano huo wa uwekezaji katika sekta za maliasili za mafuta na gesi, uchimbaji madini kilimo na maendeleo ya mifugo, uliotayarishwa na Kituo cha …
Watanzania Kuanza Kunufaika na Utambulisho wa Taifa, NIN
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi; Mh. Mwigulu Nchemba (Mb) ametembelea Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), ambapo alikutana na Menejimenti ya NIDA na kupokea taarifa ya maendeleo ya shughuli ya Usajili na Utambuzi wa Watu. Akitoa taarifa ya maendeleo ya mradi wa Vitambulisho vya Taifa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA; Ndugu Andrew …
Wakala Huduma za Misitu Waipa Madawati 80 Shule ya Msingi Kibasila
Ofisa Mistu wa Wilaya ya Temeke, Fredrick Umilla (kulia), akizungumza katika hafla hiyo ya kukabidhi madawati. Meneja wa TFS Wilaya ya Temeke, Francis Kiondo (kulia), akitoa taarifa kwa mgeni rasmi. Meneja wa TFS Wilaya ya Temeke, Francis Kiondo (wa pili kulia), akimkabidhi mgeni rasmi, Hashim Komba hati ya makabidhiano wa madawati hayo. Kutoka kushoto ni Msaidizi wa Mkuu wa …