Kushoto ni Dkt Peter Shija Mganga Mfawidhi kutoka Zahanati ya Ibosa akisisitiza jambo kwa Afisa ustawi wa Jamii Wilaya ya Nyamagana ambaye pia ni katibu wa TAWSO Mwanza Bi Abigali Mhingo. Meneja Mradi wa METDO Tanzania Bw Hussein Sungura akisaini kitabu cha wageni kwa niaba ya uongozi wa METDO Tanzania katika kituo cha Wazee KIILIMA Manispaa ya Bukoba, Mkoani Kagera. Hiki …
Rais Msaafu Mwinyi Aongoza Mahafali ya Chuo Kikuu Kampala, KIU
Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akiwatunuku wahitimu wa kozi mbalimbali katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Kampala cha jijini Dar es Salaam kwenye sherehe za mahafali. Baadhi ya waadhiri wa chuo hicho wakiwa kwenye mahafali hayo. Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi (kushoto) na mgeni rasmi katika mahafali …
Kampuni ya SBL Yamzawadia Mteja wa Bia Pikipiki Mpya
Meneja Chapa wa Bia ya Pilsner, Isamba Kasaka akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) wakati wa kukabidhi zawadi kwa mshindi wa pikipiki mpya iliyotolewa kwa Shindano la kunywa bia ya Pilsner lililofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki linalojulikana kama “Pilsner Lager Nguruma Party.” Pembeni yake ni Meneja Biashara Mipango na matukio Pwani na Dar …