Waandishi wa Habari za Mitandao Wakutana

Mwenyekiti wa Chama Cha Wamiliki na Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii ‘Tanzania Bloggers Network (TBN) Joachim Mushi (kushoto) akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Mawasiliano Nchini, Dk. Hassan Abbas kwenye Mkutano mkuu wa mwaka wa wanachama wa Bloggers Tanzania uliofanyika Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Viongozi walioshiriki kwenye Mkutano mkuu wa mwaka wa wanachama wa Bloggers …

Ridhiwani Kikwete Awaongoza Wapiga Kura Wake Kupima UKIMWI

  Baadhi ya wananchi wa jimbo la chalinze walijitokeza katika mkutano wa Mbunge wa Jimbo hilo Ridhiwani mara baada ya kumaliza zoezi la upimaji virusi vya Ukimwi.   Mbunge akibadilishana na moja wa wazee maarufu katika kata ya Bwilingu Aliyejulikana kwa jina la Mzee Mbise , baada ya mkutano na wananchi.   Mwenyekiti wa kitongoji cha Bwilingu Ndg. Saidi Khalfan …

Madaktari Watakiwa Kujadili Magonjwa na Jamii…!

  Katibu Mtendaji wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), Fabian Magoma  (kulia), akizungumza katika Kongamano la 33 la siku tano la Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA) linaloendelea Hoteli ya Kebby Mwenge jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni  Mwenyekiti wa TPHA anayemaliza muda wake, Daktari Bingwa  Elihuruma Nangawe. Dk. Manase Frank akitoa mada kwenye kongamano …

UN na EU Waendeleza Kampeni ya Uelewa wa Malengo ya Maendeleo Endelevu

  UMOJA wa Ulaya (EU) na Umoja wa Mataifa (UN) wamejiunga pamoja kuendesha kampeni ya uelewa wa malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) nchini Tanzania. Aidha kwa pamoja wamezuru miradi iliyofadhiliwa na EU. Wakiwa Mkoani Iringa wamepata nafasi ya kuzungumza na wanachuo 1,000 kutoka vyuo vikuu vya Iringa na Mkwawa kwenye semina iliyoelezea malengo hayo ya dunia ambayo ni sehemu ya …