Matukio Mahafali ya Pili Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi

  Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Prof Faustine Bee akimuongoza Mkuu wa Chuo  hicho Pius Msekwa wakati akiwasili katika uwanja wa Chuo hicho kwa ajili ya Mahafali ya Pili. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Prof Gerald Monela akizungumza wakati wa mahafali ya pili ya chuo hicho yaliyofanyika katika uwanja wa michezo wa …

TGNP Yakutanisha Wadau Kuchambua Sera ya Maji Dar

            MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) inakutanisha watendaji mbalimbali na wataalamu kutoka sekta za Maji, Afya na Elimu pamoja na wale wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuangalia changamoto za kijinsia zilizopo kwenye sera za sekta tajwa. Watendaji hao na wataalamu wanaoungana na wengine kutoka Halmashauri zote za jiji la …

UNICEF Yaadhimisha Miaka 70 ya Kuanzishwa…!

  Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) limeadhimisha miaka 70 tangu kuanzishwa (1946-2016) likiwa na kauli mbiu ya Kwa Kila Mtoto, Tumaini. Akizungumza katika maadhimisho hayo, Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), Bi. Maniza Zaman alisema shirila lao kwa kipindi cha miaka 70 limekuwa likifanya kazi za kuwasaidia watoto ambapo malengo yao ni kuhakikisha watoto …

JWTZ, Wanahabari Waliopanda Kilimanjaro Kusherehekea Miaka 55 Uhuru Watambuliwa

  Washiriki wa changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kusherehekea kumbukumbu ya Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara wakiwemo Askari Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na Waandishi wa Habari wakishuka baada  ya kupanda mlima huo kwa siku sita. Zoezi hilo limeongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu Jenerali George Witara (Mwenye fimbo mstari wa mbele) na …

Mkutano Mkuu TBN Wafungua Milango na Fursa kwa Bloggers Tanzania

Disemba 05 na 06 mwaka huu 2016 ulifanyika Mkutano Mkuu wa Waendeshaji/ Wamiliki wa Mitandao ya Kijamii nchini kupitia umoja wao wa Tanzania Bloggers Network TBN, uliofanyika ukumbi wa PSPF Jijini Dar es salaam. (Pichani anayezungumza na Mwenyekiti wa TBN) Siku ya kwanza ilikuwa mahususi kwa ajili ya semina kwa wanablogu hao juu ya namna ya kuendesha mitandao yao kwa …