Ridhiwani Kikwete na Kauli ya Matumaini kwa Wasanii Tanzania

MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Mh. Ridhiwani Kikwete amesema anatamani kuona kazi za wasanii wa Tanzania zinatambuliwa na wasanii hao kupata faida juu ya kazi wanazofanya. Ameongeza kuwa anapenda kuona Wanamuziki wa Tanzania wakifanya vizuri na huku wakinufaika na kazi zao na kukuza soko la Muziki huo Kimataifa. Mbunge huyo amesema hayo alipokua Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Video ya …

Gari la Mbunge ‘Sugu’ wa Chadema Lauwa

Na Emanuel Madafa, JamiiMoja Mbeya MKAZI wa Iyunga jijini Mbeya ambaye amefahamika kwa jina moja la Rechal (13) amefariki dunia mara baada ya kugongwa na gari, namba T161 CPP Toyota LandCruiser inayodaiwa kumilikiwa na Mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi maharufu kwa jina la (SUGU), kwenye kivuko cha barabara (ZEBRA) na kumsababishia kifo chake papo hapo. Tukio hilo …