Wafanyakazi Benki ya NMB Kilosa wamnunulia mguu mtoto mlemavu

        WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB wilayani Kilosa, Morogoro kwa kushirikiana na Kitengo cha Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) cha benki hiyo wametoa msaada kwa mtoto Sheila Bushiri (7) ambaye alizaliwa akiwa mlemavu wa mguu mmoja kufanyiwa upasuaji na kumnunulia mguu wa bandia ili aweze kutembea kama watu wengine. Akizungumza kuhusu msaada huo, Meneja wa tawi la benki …

Mbunge Jimbo la Tanga Ajitosa Sakata la Mgomo wa Daladala

Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani (RTO) Nassoro Sisiwaya akizungumza kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku.  Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi akizungumza na waansdishi wa habari kuhusu namna halmashauri ilivyoweza kulitatua tatizo hilo mara moja kwa kupitisha greda kuichonga.  Kaimu DTO wa wilaya ya Tanga, Imani Raphael akizungumza katika tukio hilo la mgomo wa madereva hao. Kaimu DTO …

MAOFISA UGANI WATAKIWA KUTUMIA MAFUNZO KUWAELIMISHA WAKULIMA

 Ofisa Kilimo wa wilaya hiyo ya Uyui,  Deogratius Mwampinzi, akizungumza katika mafunzo hayo. Kushoto ni Ofisa Kilimo kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora, Said Babu.  Ofisa Kilimo kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora, Said Babu akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo.  Mshauri wa Jukwaa la Bioteknolojia (OFAB), Dk. Nicholaus Nyange akitoa mada kwenye mafunzo hayo. Mtafiti wa …

Mwakilishi, Mbunge Jimbo la Tungu Wasaidia Ujenzi wa Soko la Samaki, Tindini

Wananchi wa Kijiji cha Tindini Unguja Ukuu wakishirikiana na Mbunge wao na Mwakilishi katika ujenzi wa Taifa wa Soko la Samaki katika ufukwe wa Bahari ya Unguja Ukuu Zanzibar. Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na Mhe Khalifa Salum Suleiman wakikabidhi mabati kwa Katibu Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Bi. Sauda Ramadhani, …