Watoto Wafia Kwenye Gari kwa Kukosa Hewa…!

Jeneza lenye mwili wa mtoto huyo likiombewa kabla ya  kuingizwa kanisani Wanafunzi wenzake na mtoto huyo wakiwa katika ibada ya kumuaga mwenzao. Padre aliyekuwa akiendesha ibada hiyo akilinyunyuzia mafuta ya baraka jeneza lenye mwili wa mtoto Maria. Msemaji wa familia ya ASP Masala akitoa taarifa na historia  fupi ya marehemu Maria. Baba wa marehemu, ASP Masala (wa pili kulia aliyevaa …

NMB Wachangia Milioni 10 Ujenzi wa Skuli ya Ng’ambwa Uzi Zanzibar

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said (mwenye koti) akipokea msaada wa mfano wa hundi ya shilingi milioni kumi kwa ajili ya ujenzi wa Skuli ya msingi Ngambwa uzi kutoka kwa Kaimu Meneja wa Benki ya NMB Ndg. Waziri Barnabas, mwenye tai kulia Afisa Elimu wa Wilaya ya Kati Unguja Ndg. Makame Haji na kushoto kwa Mwakilishi …

Watanzania Watano Wateuliwa Kuwaidua Wanawake Kiuchumi

Vijana hao waliofanikiwa kuchaguliwa kuwa mabalozi wa “CHAMPION FOR CHANGE” ni Agnes Mgongo, Doris Mollel, Hassani Tozir, Catherine Ruge pamoja na Sadick Lungendo. Mabalozi hawa watashirikiana na serikali kwa kwa hamasa na mafunzo mbalimbali ili kuwainua na kuwawezesha wanawake kujikwamua kiuchumi. Hivyo basi wadau wote kwenye njanja tofauti tofauti wanaombwa kuwaunga mkono mabalozi hawa kwa kushiriki kwenye midahalo au mahojiano …