HakiElimu yazindua Mpango Mkakati wa Miaka Mitano 2017-2021

  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Hakielimu, Martha Qorro (kushoto) na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Katarina Rangnitt (wa pili kulia) wakifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano wa Hakielimu jijini Dar es Salaam. Kulia akishuhudia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu, John Kalage.   Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu, John Kalage akizungumza na wageni waalikwa …

Wasichana Wanne Kutoka Tanzania Waenda Kupata Mafunzo ya Uongozi

Wasichana wanne wa Tanzania wakiaga  kwa kupungia mikono huku wakiwa na , Bendera ya Taifa waliyokabidhiwa na Kamishna Mkuu wa Chama cha Tanzania Girl Guids (TGGA), Symphorosa Hangi katika hafla ya kuwaaga kwenda Uganda ambako watakutana na wenzao 31 kutoka nchi za Afrika Mashariki na Kati katika mafunzo ya uongozi na utamaduni katika nchi hizo. Hafla hiyo ilifanyika Uwanja wa Ndege …

Jumuiya ya Singh Wasaidia Madawati Jimbo la Chalinze

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete wa tatu kutoka kushoto, akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Singh Bwana Kugis wa pili kutoka kulia,pamoja Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo wa kwanza kushoto baada ya kupokea msaada wa madawati kutoka Jumuiya hiyo.  Mbunge wa Jimbo la Chalinze akipanda mti kuashiria sherehe  ya miaka 350 toka kuzaliwa kwa Guru Sing Sikh.  Mkuu wa …