Azam Marine Kusafirisha Abiria Tanga – Unguja na Pemba kwa Meli Kubwa ya Kisasa
Meli Kubwa inayoweza kuingia abiria na mizigo kwa pamoja ambayo itafanya safari zake kati ya Tanga-Unguja na Pemba ikiwa inaingia bandari ya Tanga leo wakati wa uzinduzi wake ambapo uwekezaji huo mkubwa umefanywa na kampuni ya Azam Marine ili kuwanusuru wananchi wa mkoa wa Tanga na changamoto za usafiri huo. Meneja Mkuu wa Azam Marine Husein Mohammed …
Madiwani Manispaa ya Moshi Watoa Zawadi kwa Wagonjwa Mawenzi
Na Dixon Busagaga Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi wakiwasili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro,Maawenzi wakiwa wamebeba zawadi mbalimbali kwa ajili ya kutoa kwa wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,wakielekea katika wodi walimolazwa wagonjwa kwa ajili ya kutoa zawadi. Mwenyekiti wa Madiwani wa Chadema na Diwani wa kata ya Kiusa,Stephen Ngasa …
Rais Magufuli Azinduwa Usafiri wa Haraka wa Mabasi, BRT Dar
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 25 Januari, 2017 amefungua rasmi awamu ya kwanza ya miundombinu na utoaji wa huduma ya usafiri wa haraka wa mabasi (BRT) katika Jiji la Dar es Salaam uliotekelezwa kwa lengo la kukabiliana na msongamano wa magari ndani ya Jiji na athari zake katika …