BAADHI ya madiwani, watendaji na wenyeviti wa Serikali za mitaa kutoka Wilaya Tatu za Mkoa wa Dar es Salaam yaani Temeke, Ilala na Kinondoni wameviomba vyama vya siasa kutoa fursa za uongozi kwa wanawake ili waongezeke katika nafasi za uongozi ngazi mbalimbali. Ombi hilo limetolewa na viongozi hao katika maoni yao walipokuwa katika semina …
Hospitali ya Kairuki Yatoa Huduma za Macho Bure
Daktari Bingwa wa magonjwa ya macho Dk. Mustafa Yusufali akimpima macho, Alphonce Joseph mmoja wa wagonjwa waliofika katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam, ikiwa sehemu ya maadhimisho ya 18 ya Kumbukizi ya Hayati Prof. Hubert Kairuki, ambapo upimaji wa awali wa afya ya macho umefanyika kuanzia Februari 3-4 kwa gharama za hospitali hiyo pamoja na utoaji wa …
LSF Yatoa Msaada wa Laptop kwa Wasaidizi wa Kisheria
MFUKO wa Fedha za Msaada wa Kisheria (LSF) umekabidhi laptop 170 kwa asasi mbalimbali zinazotoa msaada wa kisheria kwa wananchi wahitaji katika mikoa anuai nchini Tanzania. Akizungumza kabla ya kukabidhi vitendea kazi hivyo kwa wawakilishi wa mikoa wa mashirika washauri wa msaada wa wa kisheria, Mjumbe wa Bodi ya LSF, Dk. Benson …
Wanausalama wa Prof Lipumba Wawapiga Mkwala ‘Wafuasi’ wa Seif
Wafuasi wa chama hicho wakiwa kwenye mkutano huo. TAARIFA KWA UMMAWaandishi wa Habari, nimewaiteni hapa leo kwa ajili ya kuwapa Taarifa za hujuma zinazopangwa kufanywa dhidi ya chama chetu. Kama mnavyofahamu kwamba,Chama chetu kiko katika sintofahamu ya Mgogoro wa Kiuongozi.Hata hivyo pampja na hali hiyo kuwepo, tunaimani kwamba,sintofahamu hii ya Kiuongozi tutaumaliza wana CUF wenyewe. Mara nyingi huwa siyo kawaida yangu …