Sekta ya Uchukuzi Yaelekea Dodoma, Wamfuata Waziri Mkuu

Na Biseko Ibrahim WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amewataka watumishi wa Wizara hiyo Sekta ya Uchukuzi kutumia vizuri fursa ya kuhamia Dodoma kwa kuwatumikia Watanzania kwa uadilifu na weledi. Amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati akiwaaga watumishi wa Sekta ya uchukuzi wa awamu ya kwanza ambao wameondoka leo kuelekea mjini Dodoma. “Nawapongeza kwa kupata fursa …

Kilimanjaro Yataja Majina ya Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandamizi,Wilbroad Mutafungwa akitaja majina ya watu wanadaiwa kujihusisha na usafirishaji, uuzaji na matumizi ya dawa za kulevya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Wilbroad Mutafungwa akinyunyiza marashi juu ya Mirungi iliyofungwa katika vipande vya magazeti ikiwa ni mbinu mpya inayotumiwa na wasafirishaji wa bidhaa hizo. Baadhi  ya watuhumiwa wa dawa za kulevya waliokamatwa …

CSSC Kuadhimisha Miaka 25 ya Huduma kwa Mafanikio Makubwa

CSSC yajivunia hospitali 102 na taasisi 1006 nchi nzima TUME ya Kikristo ya Huduma za jamii (CSSC), inatarajia kuadhimisha miaka ishirini na mitano (25), tangu kuanzishwa kwake mwaka 1992, maadhimisho yatakayofanyika kwa siku mbili tarehe 21 na 22 mwezi Februari katika ukumbi wa Diamond Jubelee na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mkurugenzi Mtendaji …

Burudani za Tamasha la Busara Zanzibar Zaanza Katika Viwanja vya Mnara

  Wasanii wa Kikundi cha Utamaduni kutoka Nchini Burundi wakitowa burudani kwa Wananchi wa Zanzibar katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michezani Zanzibar kabla ya kuaza kwa maandamano ya Uzinduzi huo yalioazia katika viwanja hivyo hadi katika viwanja vya bustani ya forodhani. Wasanii kutoka burundi wakionesha umahiri wao wa kupiga ngoma za utamaduni wa Kwao.      Wananchi …