HUKUMU ya kesi ya Kikatiba namba 9 ya mwaka 2016 iliyofunguliwa mwaka jana na Kampuni ya Jamii Media ikipinga baadhi ya vifungu vya sheria ya makosa ya mtandao kwa kile kuingilia uhuru wa maoni na kujieleza wa wananchi imeshindwa kusoma huku kukiwa hakuna sababu zilizotajwa. Akizungumza leo eneo la Mahakama Kuu, jijini Dar es Salaam Wakili wa Jamii Media, …
Mwakilishi UNDP, RC Kilimanjaro Wazinduwa Vyoo Shule za Msingi Moshi
Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez pamoja na Mkuu wa wilaya ya Moshi Kippi Warioba wakizindua rasmi vyoo vilivyojengwa katika shule za msingi 10 wilayani Moshi za kufadhiliwa na UNDP. Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa Maendeelo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Alavaro Rodriguez pamoja na Mkuu wa wilaya ya …
Mkuu wa Wilaya Muheza Awatembelea Waliopasuliwa Macho
MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katika akiingia kwenye kituo cha Afya Cha Ubwari wakati alipokwenda kuangalia zoezi la upasuaji wa macho kwa wakazi wa wilaya hiyo wanaokabiliwa na matatizo mbalimbali ikiwemo ya mtoto wa Jicho iliyoendeshwa na Taasisi ya Medewell Charitable Health Centre kulia ni Mganga Mkuu wa wilaya hiyo, Mathew Mganga na kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo,Luiza Mlelwa. Baadhi …
Mama Janeth Magufuli, Mke wa Waziri Mkuu Wasaidia Makazi ya Wazee Singida
NA MWANDISHI MAALUM MKE wa Rais Mheshimiwa Mama Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wametoa rai kwa Wanzania kujenga tabia ya kusaidia watu wasiojiweza na wenye mahitaji maalumu. Wake hao wa viongozi pia wamewatahadharisha watumishi wanaofanya kazi katika vituo vya kulelea wazee wasiojiweza wahakikishe misaada inayotolewa na wadau mbalimbali …