Mafunzo yanayotolewa na kampuni hiyo kwa wajasiriamali zaidi ya 400,000 nchini ni ufugaji wa kuku wa chotara, sungura, samaki pamoja na kilimo bishara cha mbogamboga na matunda. Pia husaidia kupatika kwa masoko ya bidhaa hizo, pamoja na kuwaunganisha katika taasisi mbalimbali za kifedha ili kupata mikopo kirahisi. …
Baadhi ya Maaskofu Wampaka Mafuta na Kumwombea Rais Magufuli
Askofu wa Good News for All Ministry, Dkt. Charles Gadi akizungumza na waandishi wa habari wakati madhehebu mbalimbali hapa nchini walipomuombea Rais Dkt. John Pombe Magufuli, nchi, pamoja na kumpongeza kwa kumteua Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Dar es Salaam. Kushoto ni Askofu Hezron Mwamsemba wa Kanisa la Baptist jijini na katikati ni Askofu Ernest Sumisumi wa kanisa hilo. …
Dk Kigwangalla Afunguka Maandhimisho Miaka 25 ya CSSC
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala, ameungana na Wadau wa Tume ya Kikristu ya Huduma za Jamii (CSSC) katika kuadhimisha miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Tume hiyo. Akizungumza katika ufunguzi, Dkt. Kigwangala amesema kuwa katika kipindi cha miaka 25, Tume hii imekuwa mstari wa mbele katika kushirikiana na Serikali na Wadau wengine …
UNESCO Youth Forum Yatoa Mbinu za Kujikwamua kwa Vijana
Bwana Jackson Oganga akiwa anatoa maelezo kwa vijana jinsi ya kupata ‘Scholarship’ zinazotolewa sehemu mbalimbali. Mwakilishi wa Asasi ya Kiraia Global Peace Foundation (GPF) Tanzania aliyewakilisha katika Semina hiyo, Bi. Anna Mwalongo akielezea kwa kifupi kuhusu Asasi hiyo. Mshauri wa mambo mbalimbali ya Kijamii na uchumi , Bw. Anthony Luvanda akitoa masomo ya namna vijana wanavyoweza kujikwamua na kujitegemea kwa kufanya …
Yatima S.O.S Dar Wamlilia Blogger Chinga One wa TBN
Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika Ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Jennifer Livigha aliyekuwa mmiriki wa Blog ya Chinga One katika Hospitali ya Amana. Waongozaji wa Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Jennifer Waombolezaji wakiwemo baadhi ya wana Tanzania Bloggers Network (TBN) ambapo Marehemu Jennifer alikuwa mwanachama Mmoja ya waombolezaji akitoa historia fupi ya Marehemu Mmoja wa wanafamilia …
Monduli Yaunga Mkono Vita Dhidi ya Dawa za Kulevya
Mkuu wa mkoa akipokea kadi ya CHF wilaya ya Monduli kutoka kwa mkuu wa wilaya hiyo Idd Kimanta, ili kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko huo. Baadhi ya watumishi katika halmashauri ya wilaya ya momduli wakifuatilia yaliyokuwa yanaendelea kwa makini. Mkutano unaendele wadau pamoja na watumishi wa wa halmashauri hiyo wakifuatilia yale yanayoendelea. Picha zote na Vero Ignatus Blog Na Vero Ignatus, Monduli …