Waziri Muhongo Azinduwa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini, Pwani
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (mwenye fulana ya Bluu) na Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete wakifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini, Awamu ya Tatu katika mkoa wa Pwani. Watendaji kutoka kampuni ya Steg International Services wakimsikiliza Waziri wa Nishati na Madini (hayupo pichani) wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika …
Hamad Masauni Azungumza na Maafisa Waandamizi Jeshi la Magereza
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (aliyevaa suti) akiongozwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, (CGP) Dkt. Juma Malewa (mbele), kuingia ukumbini kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Maafisa Waandamizi kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Magereza pamoja na Wakuu wa Vituo vya Magereza Tanzania Bara, uliofanyika Bwalo Kuu la Maafisa wa …
Angalia Mitindo Ndani ya V. I. P. Reception Awards Gala…!
Warembo wakiwa katika picha ya pamoja siku ya Jumamosi March 11, 2017 Fairfax, Virginia kwenye V.I.P. Reception Awards Gala iliyohudhuriwa na Balozi wa Kenya nchini Marekani Mhe. Robinson Njeru Githae. Mwanamitindo nguli wa kimataifa Asya Idarous Khamsin akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Kenya nchini Marekani Mhe. Robinson Njeru Githae Mrembo akiwa katika vazi la mwanamitindo …
Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii ya Bunge Yatembelea Pori Tengefu
Msafara wa Magari ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Malisili na Utaalii,yakpita katika maeneo mbalimbali ya Pori Tengefu la Loliono kwa ajili ya kujionea hai halisi ya mgogoro ulioo katika eneo hilo. Waziri wa Malisili na Utalii ambaye pia ni mjumbe wa kamati hiyo,Prof Jumanne Maghembe akiongozana na wataalamu katika ziara ya kamati hiyo. Mtafiti Mkuu wa …