MGOMBEA wa kiti cha urais wa Chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Lawrence Masha ametengua uamuzi wake kwa kusema kuwa ameamua kuumuunga mkono mgombea mwenzake Tundu Lissu. Maamuzi hayo ameyafanya wakati alipokaribishwa ili kujinadi mbele ya wapiga kura wake katika Mkutano Mkuu wa TLS unaoendelea katika kituo cha mkutano cha kimataifa AICC Jijini Arusha Leo. Aidha mwenyekiti wa uchaguzi amesema kuwa Kwa …
Vice Chancellor of the Open University of Tanzania Visits the UNESCO Dar
ON the morning of Friday,17thMarch 2017 Prof. Elifas Tozo Bisanda, the Vice Chancellor of the Open University of Tanzania (OUT) visited the UNESCO Office in Dar es Salaam. Prof. Bisanda, who is also the Chairperson of the UNESCO National Commission of the United Republic of Tanzania, had a meeting with the UNESCO Dar es Salaam Head of Office and Country Representative, …
Mwakilishi Mkazi wa UN Tanzania Aridhishwa na Utekelezaji wa Miradi Kagera
Umoja wa Mataifa kupitia Mkurugenzi wake Mkazi nchini Tanzania Bw. Alvaro Rodriguez umetembelea, kukagua na kuridhishwa na utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na umoja huo Mkoani Kagera ambapo zaidi ya Dola za Kimarekani (618,000 USD) zimetolewa ili kufadhili na kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kama Elimu na Afya pia na miradi ya kijamii. Bw. Alvaro Rodriguez ambaye ni Mwakilishi Mkazi wa Mashirika matatu ya Umoja wa Maifa …
Watendaji wa Serikali Waagizwa Kulinda Wawekezaji Wazawa
SERIKALI imewataka viongozi wa kisiasa pamoja na watendaji wa serikali kutotumia madaraka yao vibaya kuwanyanyasa na kuwasumbua wawekezaji wazawa waliowekeza ndani ya nchi. Aidha viongozi hao wametakiwa kuwaheshimu na kuwajengea mazingira rafiki yatakayowawezesha kufanya biashara zao kwa amani ili kuweza kukuza uchumi wa taifa na kuongeza ajira kwa vijana. Kauli hiyo imetolewa jana na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na …