Bomoabomoa Nyumba Katika Hifadhi ya Reli Mivinjeni, Kurasini Yaanza
Makontena ya biashara yakiwa yamefumuliwa na katapila. Baa ya Pentagoni ikiwa imebomolewa Katapila likiendelea na kazi ya bomoa bomoa Baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwa na vibanda vya biashara pamoja na wananchi wakishuhudia ubomoaji huyo. Askari wakilinda doria wakati wa ubomoaji Wataalamu wakipima mita 20 kutoka kwenye reli ili nyumba na mabanda yaliyo ndani ya …
Balozi Marmo Amvisha Cheo Kanali Joseph Bakari wa JWTZ
KATIKA hali ambayo haijazoeleka Balozi wa Tanzania Mhe. Philip Marmo nchini Ujerumani alimvisha Cheo Kanali Joseph Bakari aliyepandishwa Cheo hivi karibuni kutoka Luteni kanali. Hafla hiyo fupi iliyohudhuriwa na ujumbe wa Watanzania waliohudhuria Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Jijini Berlin Ujerumani akiwemo Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Rashid Ali Juma, Mshauri wa Rais wa Zanzibar mambo ya Utalii …
LAPF Yagawa Reflector Jacket kwa Bodaboda Kisarawe
Waendesha boda boda wa Wilaya ya Kisarawe wakiwa kwenye mkutano huo. Waendesha boda boda wa Wilaya ya Kisarawe wakiwa kwenye mkutano huo. Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe, akionesha moja ya jacket katika mkutano huo. Kushoto ni Diwani wa Kata ya Kisarawe, Abel Mudo na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri wa wilaya hiyo, Khamis …