Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA), Dkt. Herbet wakati alipowasili katika taasisi hiyo kuzindua vitendea kazi 4 Aprili, 2017 Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani.
Naibu Balozi wa Vijana EAC Awapa Somo Wanafunzi Vyuo Vikuu Arusha
Naibu Balozi wa vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel, akisikiliza maoni ya mmoja wa wanafunzi waliohudhulia kwenye warsha hiyo, juu ya ufahamu wake wa Ushirikiano wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Tumaini, Makumira jijini Arusha, Machi 30, 2017.
RC Makonda Azungumzia Ujio wa Waziri Mkuu wa Ethiopia Tanzania
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda akizungumza na waandishi wa habari kuelezea dhamira ya ujio wa Waziri Mkuu wa Ethiopia nchini Tanzania mapema katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa Mjini Dodoma.(Picha Zote Na Mathias Canal) Baadhi ya Wakurugenzi wa Manispaa za Jiji La Dar es salaam wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Dar es …
Waziri Mwigulu Awataka Askari Polisi Kutobambikia Kesi Raia
Mzee John Samwel Malecela akizungumza wakati wa kikao cha kazi cha Mwaka 2017 cha Maafisa waandamizi wa Polisi na Makamanda wa Mikoa/Vikosi. Maafisa waandamizi wa Polisi na Makamanda wa Mikoa/Vikosi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe Mwigulu Lameck Nchemba akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kazi cha Mwaka 2017 cha Maafisa waandamizi wa Polisi na Makamanda wa …