MBUNGE wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete,akiangalia barabara kutoka Vigwaza-Mwavi iliyoharibika vibaya eneo la Buyuni hali inayosababisha magari kushindwa kupita. Mbunge wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete,akizungumzia kero ya kuharibika kwa baadhi ya miundombinu ya barabara kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha,ambapo mvua iliyonyesha april 7 na 8 imesababisha kuharibu barabara ya Vigwaza-Buyuni-Mwavi na ya Milo-Kitonga-Ruvu. Baadhi ya wakazi wanaotumia …
SIDO Yawatunuku Vyeti Wajasiriamali wa Vipodozi Mtwara
Meneja wa SIDO Mkoa wa Mtwara, ndugu Joel Chidabwa akiwatunukia vyeti wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na matumizi ya vipodozi kwa wanawake wa mkoa wa Mtwara. Ndg. Chidabwa alifunga rasmi mafunzo hayo ya wiki mbili yaliyoandaliwa na kutolewa bure na taasisi ya Manjano Foundation mkoani Mtwara. Katika mafunzo hayo ya ujarisiamali na matumizi sahihi ya vipodozi, yalitolewa kwa wanawake …
MISA-TAN Wawapiga Msasa Wanahabari Sheria ya Huduma za Habari
Baadhi ya Wanahabari kutoka mikoa ya Tanga, Arusha, Manyara na Kilimanjaro wakishiriki katika warsha hiyo inayofanyika katika Hoteli ya Impala jijini Arusha. Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Luninga cha ITV mkoa wa Manyara,Charles Masanyika akichangia jambo wakati wa warsha hiyo. Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi mkoa wa Manyara, Joseph Lyimo akichangia jambo katika warha hiyo. Wakili Msomi …
Tanzanite One Kujenga Madarasa 7 Songambele…!
Mkurugenzi mwenza wa Tanzanite One,Faisal Juma pamoja na viongozi wa serikali na wajumbe wa kamati ya shule ya Songambele akikagua madarasa ambayo hayatumiki kutokana na nyufa baada ya shule kukumbwa na mafuriko na kutangaza kujenga madarasa saba. Mkurugenzi mwenza wa Tanzanite One,Faisal Juma akizungumza katika mkutano na wazazi wa shule ya msingi Songambele ambayo ina uhaba wa madarasa na …