NSSF Tabora Yatoa Msaada wa Mifuko 50 ya Saruji Kusaidia Ujenzi wa Zahanati

  Afisa wa Uhasibu Mwandamizi wa NSSF Tabora Bw. Mussa Ndelemiko, akitoa utambulisho na dhumuni la ziara ya viongozi wa NSSF katika Kata ya Mtendeni Manispaa ya Tabora mkoani Tabora. Afisa Mtendaji Kata ya Mtendeni Manispaa ya Tabora Bi. Rehema  Midelo (kulia), akitoa utambulisho wa viongozi wa Kata. Meneja wa NSSF Mkoa wa Tabora Bi. Nour Aziz akizungumza wakati wa …

LHRC YAWANOA VIONGOZI WA DINI KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA MPYA

   Mkurugenzi wa Baraza la Dini na Amani Tanzania (IRCPT), Mchungaji Thomas Godda, akihutubia wakati akifungua semina ya siku mbili ya viongozi wa dini kuhamasisha uhiishaji wa katiba mpya inayoendelea Hoteli ya Golden Tulip Posta jijini Dar es Salaam leo. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC).  Meneja Mipango Msaidizi wa (IRCPT), Rogers Fungo akizungumza katika semina …

Huduma za Benki ya NMB Zasogea Mtaani Kwako

      UPATIKANAJI wa huduma za Benki ya NMB umezindi kuboreshwa na sasa umesogezwa zaidi mtaani kwako. Mteja wa NMB na asiyekuwa mteja kupitia huduma ya NMB Wakala sasa anaweza kuweka kutoa fedha na hata kulipia huduma mbalimbali akiwa mtaani kwake bila ya uhitaji wa kufika katika tawi la benki ya NMB. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam na …