TAASISI ZA KIFEDHA ZASHAURIWA KUWA NA MASHARTI NAFUU YA UTOAJI MIKOPO

MKUU wa Mkoa wa Lindi Mhe Godfrey Zambi akinunua moja ya mkoba uliotengenezwa na kikundi cha Jauki kwenye banda la Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa mara baada ya kutembelea banda hilo wakati wa Maonesho ya 24 ya kilimo na sherehe za Nanenane katika Viwanja vya Ngongo nje kidogo ya Manispaa ya Lindi. Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Godfrey Zambi akimtazama mnyama aina ya kakakuona wakati …

OLE NASHA AJIVUNIA KUFUTWA BAADHI YA KODI NA TOZO SEKTA YA MAZAO

Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe William Tate Ole Nasha (Mb) akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Charles Tizeba wakati wa uzinduzi wa maadhimisho  ya sikukuu ya wakulima – Nanenane, mwaka 2017 katika viwanja vya maonesho ya kilimo ya Ngongo Mkoa wa lindi, jana tarehe 1/8/2017.    Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na …

TenMet Yakutana na Bloggers wa TBN Kujadili Ushirikiano Kikazi

      Afisa Programu wa Mtandao wa Elimu Tanzania, (TenMet), Bi. Alistidia Kamugisha, akizungumza wakati wa kikao cha kujenga ushirikiano baina ya taasisi hiyo na Bloggers kilichofanyika makao makuu ya TenMet, Sinza jijini Dar es Salaam. MTANDAO wa Elimu Tanzania (TenMet) umekutana na kuzungumza na baadhi ya Bloggers wa Dar es Salaam kutoka TBN, kujadili masuala mbalimbali ya kiushirikiano. Majadiliano …

MHANDISI RAMO MAKANI AZUNGUMZA NA WAKAZI KIJIJI CHA MSHIRI KUHUSU ENEO LA NUSU MAILI

  Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Kippi Warioba akiongozana na Naibu Waziri wa Malisili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani walipotembelea kijiji cha Mshiri katika wilaya ya Moshi kusikiliza Changamoto zinazo wakabili wananchi waishio kando ya Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwa na Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia katika mkutano wa wananchi …