Waibaji wa kwaya ya Sauti ya Mungu kutoka Kanisa la Siloam, Mbezi, Makonde jijini Dar es Salaam, wakiimba na kucheza wimbo unaoitwa Mungu uliyetuumba wote, vizazi vyote katika Tamasha la Pasaka lililoandaliwa na Kampuni ya Msama Promotions, Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Picha zote na Kassim Mbarouk. Vijana wa Kwaya ya KKKT Mwananyamala, wakiimba na kucheza …
Rais Makufuli Atoa Zawadi ya Pasaka kwa Vituo vya Yatima
Anthony Ishengoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametoa zawadi zenye thamani ya Shilingi milioni 11,782,000/= kwa jumla ya vituo 9 katika Mkoa wa Dar es Salaam, 2 Zanzibar na 21 kutoka kwenye mikoa ya Tanzania Bara kwa ajili sikukuu ya Pasaka . Akikabidhi zawadi hizo kwa niaba ya Mhe. Rais,Kamishna wa Ustawi wa …
Waziri Mkuu Mstaafu wa Israel Atembelea Hifadhi za Serengeti na Ngorongoro
Waziri Mkuu wa zamani wa Taifa la Israel,Ehud Barak (kushoto) akimueleza jambo Naibu Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani baada ya kukutana katika eneo la Makumbusho ya kale la Olduvai Gorge ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (kushoto) ni Meneja Mawasiliano wa TANAPA,Pascal Shelutete. Mhandisi Ramo Makani akimueleza jambo Waziri Mkuu wa zamani …
Kampuni ya TTCL Yatoa Msaada wa Pasaka kwa Yatima
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa msaada wa vyakula mbalimbali na vinywaji katika vituo vya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa ajili ya kusherekea Siku Kuu ya Pasaka. Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni nne umetolewa leo Makao Makuu ya TTCL jijini Dar es Salaam ikiwa ni utaratibu wa kampuni hiyo kurejesha sehemu ya faida kwa …
ASKOFU DK MALASUSA AONGOZA IBADA YA IJUMAA KUU KKKT
Igizo likiendelea. Askofu mstaafu Dk. Alex Malasusa akisalimiana na waumini wa kanisa hilo baada ya ibada ya Ijumaa Kuu. Muonekano wa waumini wakati wa ibada hiyo. Kwaya Kuu ya Ushairika huo ikitoa burudani ya nyimbo za kifo chake Yesu Kristo wakati wa kuhitimisha ibada hiyo. Waumini wa kanisa hilo wakiwa nje kwa kuhitimisha ibada hiyo. Waumini wakitakiana kheri ya Ijumaa …