NA MWANDISHI WETU NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dk, Juliana Palangyo, (pichani anayezungumza), ametembelea miradi ya kuzalisha umeme wa Gesi Asilia ya upanuzi wa Kinyerezi I pamoja na ule wa Kinyerezi II. Akizungumza katika ziara yake ya kukagua miradi hiyo, Dk. Pallangyo ameridhishwa sana na jitihada zinazofanywa na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), katika kuhakikisha Miradi hiyo inakamilika kwa wakati, ambapo mpaka sasa …
Shirika la USAID wazindua filamu ya TUNU
shirika la watu wa marekani USAID limezindua filamu ya TUNU ambayo ni Kiswahili ikiwan imechezwa na waigizaji wa kitanzania, huku ikiwa na lengo la kuleta ujumbe muhimu na wa kipekee katika vipaumbele vilivyoko nchini Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbumbi wa sinema wa suncrest Cineplex Cinema uliopo Quality Center jijini Dar es salaam ambapo kuliudhuriwa na wageni mbalimbali. vilamu …
Utalii wa Baloon Wawavutia Watalii Hifadhi ya Taifa Serengeti
Kikapu maalumu kinachotumika katika Baloon kwa ajili ya kubeba watalii kikishushwa katika eneo la Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwa ajili ya Utalii wa Baloon. Waandaaji wa Baloon wakifanya maandalizi ya kuliandaa Baloon hilo kwa ajili ya kubeba wageni wakati wa maandalizi ya kutalii katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Rubani wa Baloon linalo milikiwa na Kampuni ya …
Mwimbaji Jimmy Gospian Ashinda Tuzo ya Zaburi Awards 2016/17 Kanda ya Ziwa
GOSPIAN kutoka ngome ya BMG, aliibuka mshindi katika kipengere cha Mwimbaji Bora Chipukizi wa Kiume ambapo washindi wa tuzo hizo walipatikana kwa wingi wa kura za mashabiki. Washindi wengine kwenye tuzo hizo ni; Kwaya Bora-Mwanza Singers, Albamu Bora-Pokea Sifa ya Rebeka Pius, Mwimbaji Bora wa Kike-Betty Lucas, Mwimbaji Bora wa Kiume-Derick Ndonge, Mwimbaji Bora Chipukizi wa Kike-Julieth Busagi, Kundi Bora-Kihayile …