Uzinduzi Mashindano ya Mei Mosi Kitaifa Wafanyika Mjini Moshi
Timu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro wakiingia uwanjani . Timu ya Wizara ya Uchukuzi wakingia uwanjani. Timu za Mashirika na Taasisi mbalimbali wakiwa wamebeba mabango wakati wa ufunguzi rasmi wa mashindano ya Mei Mosi yanayofanyika kitaifa mjini Moshi. Katibu Mkuu wa Kamati ya Mashindano ya Mei Mosi kitaifa ,Awadi Safari akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa mashindano hayo uliodfanyika …
Wanawake Pentekoste Waombea Amani Tanzania
Mwenyekiti wa Muungano wa Wanawake wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (MMPT) Misheni ya Kijitonyama, Maines Mhama (kulia), akimkabidhi maua mgeni rasmi wa maadhimisho ya siku ya wanawake wa kanisa hilo, Anitha Mshighati (katikati), mara baada ya kuwasili kwenye sherehe hiyo iliyofanyika Kanisa la Pentekoste la Kituo cha Tabata Kisiwani Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mchungaji Ibrahim Mshighati mume …
Kariakoo Family Development Wapata Viongozi Wapya
WANACHAMA wa chama cha Kariakoo Family Development Foundation (KFDF) wamejipatia uongozi mpya baada ya kufanya mkutano mkuu wa uchaguzi siku ya Jumapili Aprili 23, 2017 katika ukumbi wa shule ya Msingi ya Jamhuri jijini Dar es salaam. Jumla ya wanachama hai na halali 41 walishirki katika uchaguzi huo, ambapo wanachama 23 walikuwepo ukumbini na wanachama 18 waishio nje ya nchi walipiga …
Harusi ya John Focus na Bi. Bernadetha Munishi Ilivyofana
Bwana harusi, John Focus Lyimo (wa pili kushoto) akimtambulisha mkewe Bi. Bernadetha Munishi (wa pili kulia) kwa wageni waalikwa kwenye hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika Ukumbi wa ‘Mwenge Social Hall’ jana jijini Dar es Salaam. Waliokaa ni wapambe wa maharusi.
MKUU WA MKOA WA TANGA AKOLEZA VITA YA MADAWA YA KULEVYA
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martin Shighela, amesema vita ya madawaya kulevya inaendelea hivyo kuviagiza vikosi vya ulinzi na usalama kuhakikisha inawakamata vinara wa wasafirishaji na wauzaji. Akizungumza katika hafla ya fupi ya makabidhiano ya jengo la Afya ya Akili Hospitali ya Rufaa ya Bombo lililokarabatiwa na Kituo cha Tanga International Comperence Centre (TICC), Shighela alisema vita ya madawa itakuwa endelevu. Alisema vijana wengi wamekuwa wakiathirika …