Mbunge wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Wakabidhi Vifaa Kwa Shughuli za Kijamii

Mbunge wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Khalifa Salim Suleiman akizungumza na wananchi wa jimbo lake wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa kwa ajili ya matumizi ya shughuli za kijamii katika jimbo lao ikiwa ni kutimiza ahadi kwa wananchi wa jimbo lao walioitowa wakati wa kampeni ya uchaguzi. Hafla hiyo imefanyika katika tawi la CCMTunguu Wilaya ya Kati Unguja. Mbunge …

MAPAMBANO DAWA ZA KULEVYA NA UVUVI HARAMU YASHIKA KASI NYAMAGANA

Mkuu wa polisi wilayani Kamagana akizungumza kwenye kikao hicho. Katibu wa mkuu wa wilaya ya Nyamagana akizungumza kwenye kikao hicho. Afisa uvuvi halmashauri ya Jiji la Mwanza akizungumza kwenye kikao hicho. Wakili wa Serikali, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali mkoani Mwanza, akizungumza kwenye kikao hicho. Wakili wa Serikali, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali mkoani Mwanza, akizungumza kwenye kikao …

Msiba Mzito Arusha, Majonzi Yatawala, Maombolezo Kila Kona…!

    JIJI la Arusha na viunga vyake leo limezizima kwa manjozi wakati miili ya wanafunzi 32, walimu Wawili na Dereva wao mmoja wote kutoka shule ya Lucky Visent ilipoagwa rasmi kitaifa kabla ya mazishi yao. Hali hiyo ya majonzi na maombolezo imetawala Tanzania nzima tangu kutokea kwa taarifa hizo za kusikitisha zilizomgusa kila mmoja. Kwa mara ya kwanza idadi kubwa …

TGGA Wautetea Utalii wa Mlima Kilimanjaro Nchini Mexico

   Mmoja wa viongozi wa vijana wa Chama cha  Tanzania Girl Guides  (TGGA), Dk. Helga Mutasingwa (kulia), akilakiwa na Katibu wa Taifa wa TGGA, Grace Shaba baada ya kuwasili jana kwenye Uwanja wa wa Kimataifa wa  Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam jana.  Na Richard Mwaikenda  KIONGOZI wa Vijana wa Chama cha  Tanzania Girl Guides  (TGGA), Dk. Helga Mutasingwa amefanya …

Mbunge Viti Maalum Atoa Vifaa Tiba Vituo vya Afya Kishapu

  Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Azza Hilal Hamad, Mei 6,2017 amekabidhi Vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 12.6 katika vituo vya afya vinne vya afya ambavyo ni Nhobola, Songwa, Ng’wang’haranga na Dulisi vilivyopo wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga. Vifaa tiba hivyo ni Vitanda sita vya kisasa vya kujifungulia kwa akina mama wajawazito,vitanda sita kwa ajili …

Wafanyakazi NMB kuchangia upasuaji wa watoto wenye mdomo Sungura

    WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB katika kitengo cha Corporate Support wamedhamini upasuaji wa watoto wanne wenye midomo Sungura waliokuwa wamelezwa katika hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam. Akizungumzia udhamini huo, Meneja Mwandamizi wa Idara ya Usimamizi wa Majengo NMB, Elizabeth Lukaza alisema ufadhili huo ni sehemu ya utaratibu ambao wamejiwekea wao kama wafanyakazi wa kitengo cha Corporate …