SENSA YA WAFANYAKAZI NYUMBANI KUFANYIKA MKOANI MWANZA

Semina kwa viongozi wa serikali za Mitaa pamoja na wadau wengine wa maendeleo katika wilaya za Ilemela na Nyamagana mkoani Mwanza ikiendelea Jijini Mwanza. Semina hiyo imeandaliwa na shirika la WOTESAWA kwa siku tatu tangu Mei 09 hadi leo Mei 11,2017. Washiriki wa semina hiyo wakimsikiliza mwanahabari Nashon Kenedy, wakati akichangia mada kwenye semina hiyo. Wadau wa Maendeleo mkoani Mwanza …

Government Launches Nipo Tayari Campaign…!

  TANZANIA needs to end open defecation and have all people using improved toilets, to reflect the status of a middle-income country. The Minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Honorable Ummy Mwalimu (MP) and stakeholders conveyed this in Dodoma during a Call to Action event. The minister called for the national sanitation campaign, “To carry out a …

FRIENDS OF OCEAN WAUNGA MKONO KAMPENI YA KIMATAIFA KUTUNZA FUKWE ZA BAHARI

  Friends of oceans wakiendelea na usafi wa fukwe ya Escape one ikiwa kama uzinduzi wa kuanza usafi huo kwa kila mwezi na pia kuendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira na rasilimali za bahari.   Usafi ukiendelea katika fukwe ya Escape One ambapo kulikutwa chupa za bia,makopo ya maji, sindano na vingi ambavyo ni hatari kwa …