MBUNGE LUSHOTO AKAGUA UHARIBIFU WA BARABARA YA MOMBO-SONI

Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akikagua athari za mafuriko kwenye barabara ya Soni hadi Mombo ambapo imefungwa kutokana na vifusi, mawe  kudondoka barabarani na hivyo kusababisha adha hiyo.   Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akiangalia athari za barabara ya Mombo hadi Soni ambayo imefungwa kutokana na kushuka kwa mawe makubwa na vifusi. Mbunge wa Jimbo …

Pale Mbunge wa CCM Anapo Bebwa Mgongoni na Akinamama

  MBUNGE wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Azza Hilal Hamad kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametoa msaada wa vifaa tiba ikiwemo vitanda vya kisasa vya kujifungulia,vitanda vya wagonjwa na viti vya wagonjwa katika vituo vya afya na zahanati katika halmashauri ya Shinyanga vijijini na Kishapu vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 33. Mbunge huyo amekabidhi vifaa …

BENKI YA NMB YAFANIKISHA SIKU YA WAUGUZI MKOANI GEITA

        Na Joel Maduka BENKI ya NMB Tawi la Geita limetoa fulana 360 kwenye siku ya Wauguzi Duniani lengo likiwa ni kuendelea na Jitihada zake za kuwa karibu na jamii. Akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya wauguzi ambapo Kimkoa yamefanyika mkoani Geita, Meneja Mahusiano Biashara za serikali Kanda ya Ziwa, Bi. Suma Mwainunu, amesema kuwa Benk hiyo …

SBL Yaidhamini Taifa Stars kwa bilioni 2.1

      *Ni mkatanba wa miaka mitatu mfululizo KAMPUNI ya Bia Serengeti (SBL) leo imeingia mkataba wa mitatu na Shirikisho la Mipira wa Miguu Tanzania (TFF)  wa thamani ya shilingi bilioni 2.1  ambao unaifanya kuwa mdhamini  mkuu wa timu ya taifa -Taifa Stars. Hii ni mara ya pili kwa SBL kuiunga mkono timu ya taifa baada ya kampuni hiyo kufanya hivyo kwa kipindi …