CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimetakiwa kuhakikisha kwamba wanatumia vyema kijiji cha kidigitali cha Ololosokwan katika kuhakikisha kwamba taifa linakuwa na uwezo mkubwa katika tiba mtandao. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Mpoki Ulisubisya wakati akifunga warsha ya siku 2 ya tiba mtandao iliyofanyika chuoni hapo. Warsha …
WADAU WA ELIMU WAKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE
Picha ya pamoja ya wadau wa elimu Tanzania na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge, huduma na Maendeleo ya Jamii baada ya kikao cha kuwasilisha mapendekezo ya wadau wa elimu katika bajeti ya elimu ya mwaka wa fedha 2017/2018 uliofanyika katika ukumbi mdogo wa bunge mjini Dodoma. Baada ya Kikao hicho wanakamati ya bunge ya kudumu huduma na maendeleo ya …
TIBA MTANDAO KUANZIA OLOLOSOKWAN OKTOBA MWAKA HUU
WATU waliopembezoni ambao wamekuwa na shida kubwa ya kupata madaktari bingwa, wataanza kupata nafuu baada ya kuanza kwa mradi wa tiba mtandao unaoendeshwa kwa pamoja kati ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi-Muhimbili, UNESCO pamoja na wadau wengine. Hayo yalisemwa katika warsha ya siku mbili ya kujadili na kuiangalia dhana ya tiba mtandao na namna ya kuitekeleza. Kwa mujibu wa …
Kundi la WhatsApp Lasaidia Wagonjwa wa Saratani, KCMC
Mabalozi wa Kundi la Mtandao wa Kijamii wa WhatsApp la Saratani Info wakiwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC tayari kutembelea kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC. Mkuu wa Kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Dk. Furaha Silventi akizungumza na mabalozi wa kundi la Saratani Info lilipotmbelea kitengo hicho. Mkuu wa Kitengo cha Saratani katika …
Majerui Ajali ya Wanafunzi Lucky Vincent Wapelekwa Marekani
Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu akizungumza jambo na mmoja wa marubani wa shirika la Samaritan’s Purse kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kabla ya wanafunzi watatu hawajaelekea Marekani kwa matibabu kufuatia ajali iliyotokea wilayani Karatu wiki iliyopita. Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu akizungumza jambo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro. Mbunge wa jimbo la Singida …
MWAKYEMBE AFAGILIA MASHINDANO YA DASANI MARATHON 2017
Mkurugenzi wa Michezo Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Yusufu Singo (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mashindano ya mbio ya Km 21 ya Dasani Marathon 2017 baada ya kuwakabidhi zawadi zao eneo la Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Dar es Salaam leo. Mshindi wa kwanza, Augustine Sule (aliyesimama juu), Mshindi wa pili …