Rais Magufuli Awapatanisha RC Makonda na Ruge Mutahaba

 Wasanii nyota wa filamu wa Bongo Movie wakiwa  kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga katika sherehe zilizofanyika kijiji cha Chongolieni kilicho nje kidogo mwa jiji la Tanga siku ya Jumamosi Agosti 5, 2016. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe …

Benki ya NMB yachangia Milioni 10 Tamasha la Usalama Barabarani

          BENKI ya NMB leo imekabidhi mchango wa jezi za mpira wa miguu seti 10 pamoja na fulana 500 zikiwa na jumbe mbalimbali kuhamasisha uzingatiaji sheria na kanuni za usalama barabarani ikiwa ni kuchangia kufanikisha Tamasha kubwa la Usalama barabarani linalotarajia kufanyika uwanja wa Taifa hapo baadaye. Msaada huo umekabidhiwa leo jijini Dar es Salaam kwa …

NMB Yawezesha Wakunga Muhimbili Kutoa Huduma za Afya Bure

              CHAMA cha Wakunga Tanzania (TAMA) Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili chini ya udhamini mkuu wa Benki ya NMB kimetoa huduma za afya mbalimbali bure jijini Dar es Salaam, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya siku ya wakunga duniani. Akizungumza leo na mwandishi wa habari hizi katika tukio hilo linaloendelea Hospitali ya …

RAIS MAGUFULI APOKEWA KWA NDEREMO AKIWA ZIARANI TANGA

   Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ukielekea mkoani Tanga ambako katika ziara yake ya siku tano ataungana na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda kesho Jumamosi katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la kuanza kwa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima hadi bandari ya Tanga.  Rais …

COSTECH YATOA MAFUNZO YA KILIMO CHENYE TIJA KWA WAKULIMA KATIKA MAONYESHO YA NANENANE MKOANI LINDI

Wakulima wakiwa kwenye mafunzo hayo. Usikivu katika mafunzo hayo yaliyofanyika Ukumbi wa Mikutano katika Jengo la Halmshauri ya Wilaya ya Kilwa lililopo katika viwanja hivyo vya Ngongo. Mafunzo yakiendelea. Mkulima kutoka Wilaya ya Kilwa, Omari Kijuwile akichangia jambo kwenye mafunzo hayo. Dadi Uredi Chibwana mkulima kutoka Kijiji cha Kiwalala Lindi Vijijini akielezea changamoto mbalimbali walizonazo wakulima katika mkoa huo. Mkulima …