VIONGOZI wa Dini wamekemea vitendo vya ukatili kwa watoto na kwani vimekemewa hata katika vitabu vya dini, huku wakimtaka kila mmoja kumlinda mtoto pamoja na kueneza elimu ya malezi. Viongozi hao walioshiriki katika mkutano wa vyombo vya habari ulioandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) kutoka Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na Jumuiya ya …
UNIC Yakutana na Wanafunzi Mbalimbali Kujadili Mkutano wa Bahari
KITUO cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) leo kimekutana na baadhi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali na vijana kuzungumzia masuala mbalimbali yaliojiri katika mkutano wa Mkubwa wa Kimataifa (The Ocean Conference, United Nations) uliofanyika jijini, New York kuanzia Juni 5-9, 2017 na kukutanisha nchi na wadau anuai wa Bahari. …
WADAU WA JOTOARDHI WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania, Mhandisi Kato Kabaka akiwasilisha mada wakati wa Warsha ya wadau wa Jotoardhi iliyofanyika Dar es Salaam leo. Ofisa misitu Mkuu Kitengo cha Nishati Mbadala, Paul Kiwele akiongea wakati wa Warsha ya wadau wa Jotoardhi iliyofanyika Dar es Salaam leo. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na …
Chuo cha Ufundi Arusha na DIT Wasaini Kushirikiana
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Richard Masika(wa tatu kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology(DIT)Profesa Preksedia Marco Ndomba(wa pili kulia) wakisaini mkataba wa mashirikiano (MoU) kati ya taasisi hizo mbili. MoU imejikita kwenye ushirikiano wa Utafiti, Taaluma, kubadilishana wataalamu, ziara za kitaaluma kwa wanafunzi. Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC), Dk Richard Masika …
Moto Mkubwa Waua Watu Kadhaa London
MOTO huo katika jengo la Grenfell Tower ulianza majira ya saa 01:16, saa za Uingereza. Hata hivyo Idara ya wazima moto jijini London ilituma malori 40 ya kuzima moto huo. Watu kadha wamefariki baada ya moto mkubwa kuteketeza jengo refu usiku wa kuamkia leo mjini London. Wazima moto bado wanakabiliana na moto huo katika jumba la Grenfell Tower, …
Wanaharakati 42 Wafanikiwa Kufika Kileleni, Mlima Kilimanjaro
Timu ya Wanaharakati 86 kutoka taasisi na kampuni mbalimbali walioshiriki changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangisha fedha za kusaidia mapambano dhidi ya Ukimwi wakishuka kutoka katika kilele cha Uhuru. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akijiandaa Timu ya Wanaharakati wakati wakishuka kutoka kilele cha Uhuru, Mlima Kilimanjaro. Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Zara ,Zainabu Ansel (katikati) …