Jumuiya ya Waislam DMV Yafuturisha nchini Marekani…!

  Mwambata wa Jeshi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Canada, Col. Aldoph Mutta (kushoto) akimlaki Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Wilson Masilingi siku ya Jumamosi June 17, 2017 siku Mhe. Balozi alipokua mgeni rasmi kwenye futari ya pamoja inayoandaliwa na Jumuiya ya Waislam DMV (TAMCO) Silver Spring, …

ZIFAHAMU BAADHI YA SEHEMU ZA KITALII JIJINI DAR ES SALAAM

Na Jumia Travel Tanzania  UMAARUFU wa Dar es Salaam kwenye shughuli za kibiashara umelifanya jiji hili kuwa vigumu kwa watu kuvizingatia vivutio vyake vya kitalii. Watu wengi huvifahamu kwa kuviona tu lakini bila ya kujua kihistoria sehemu hizo zina maana sana na wageni huja wakitokea nchi mbalimbali kujifunza.   Ukiachana na ufukwe wa Coco Beach unaopatikana pembezeni mwa bahari ya hindi …

UNIC yataka wahitimu Academic International kutojiingiza katika dawa za kulevya

            KITUO cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) kimewaonya wanafunzi wa ‘Academic International Primary School’ waliohitimu Darasa la Saba kutojiingiza katika dawa za kulevya, kwani ni eneo linaloharibu kwa kasi maisha ya vijana wengi kupitia makundi. Ushauri huo umetolewa jana na Ofisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vuzo …

Mtoto Darasa la Kwanza Azindua Kitabu Maadhimisho Siku ya Mtoto wa Afrika

  Mtoto Ethan Thedore Yona akitoa maelezo kwa watoto wenzie jinsi ya kutumia App yake ya Ethan Man kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika viwanja vya JKY Park Jijini Dar Es Salaam leo.   Mtoto Ethan Thedore Yona akitoa maelezo kwa watoto wenzie jinsi ya kutumia App yake ya Ethan Man kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa …