MEYA JIJI LA TANGA KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE WAJASIRIAMALI

 Baadhi ya wanawake wajasiriamali katika Kata ya Nguvumali Jijini Tanga wakiwa kwenye mafunzo hayo WANAWAKE wajasiriamali Jiji la Tanga wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya kuwajengea uwezo katika utengenezaji na ubinifu wa bidhaa mbalimbali ili waweze kujikwamua kichumi jambo ambalo litasaidia kuondokana na utegemezi kwenye jamii. Mafunzo hayo ambayo yamekwisha kuanza katika kata ya Nguvumali yanatarajiwa kuwafikia wanawake wajasiriamali 120 na baadae kuendelea kwenye maeneo mengine …

Wenyeviti, Watendaji wa Kata na Mitaa Dar Washiriki Mafunzo

  Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori akizungumza wakati wa kufungua mafunzo kwa Wenyeviti wa Mitaa, Watendaji wa Kata na Mitaa yatakayofanyika kwa siku nne katika ukumbi wa Manispaa ya Ubungo.   Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akielezea lengo la mafunzo muda mchache kabla ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori kufungua mafunzo ya kuwajengea …

Makamu wa Rais, Suluhu Azindua Ugawaji Vifaa tiba kwa Wanawake Tanzania

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan amezindua zoezi la ugawaji wa mabeseni yenye vifaa tiba 1000 kwa ajili ya wanawake wajawazito Tanzania bara na Zanzibar. Vifaa hivyo vimetolewa na Serikali ya Kuwait kupitia Ubalozi wake hapa nchini, Lengo la mpango huo ni kukabiliana na vifo vya watoto na wanawake wajawazito nchini. Tukio hilo pia …