Mkakati Kukabiliana na Changamoto Matumizi Bora ya Ardhi Wakamilika

Mkurugenzi msaidizi nyanda za malisho kutoka wizara ya kilimo na Mifugo Bw. Victor Mwita (Kulia) ambaye alikuwa mwenyekiti wakati wa shughuli hiyo, akitoa mwongozo wa baadhi ya mambo. Baadhi ya watumishi Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUP) wakiwa wanafuatilia kwa makini majadiliano hayo wakiwa mkoani Morogoro. Mmoja wa wajumbe wa kikosi kazi hicho akichangia jambo wakati …

Kampuni ya Halotel Yatoa Mkono wa Eid kwa Vituo 10 vya Yatima Dar

            KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Halotel imetoa msaada wa vyakula, mbuzi na mafuta ya kupikia kwa vituo 10 vya Watoto Yatima na wanaoishi katika mazingira magumu jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mkono wa Siku Kuu ya Eid Mubarak itakayoanza kusherehekewa kesho na waumini wa Kiislamu. Akikabidhi zawadi hizo Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa …

SHEAKH MKUU TANZANIA, BIN ZUBERY ASHIRIKI FUTARI YA BENKI YA AZANIA MOSHI

  Waumini wa Dini ya Kiislamu wakichukua Chakula wakati wa hafla fupi ya Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania na kufanyika ofisi za Bakwata mkoa wa Kilimanjaro.   Sheakh  Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakary Zubery akiwa na Kaimu Mkurugenzi idara ya maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania, Jackson Lohay katika hafla ya Futari iliyoandaliwa na Benki hiyo. Baadhi ya …

DMF YATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WAKAZI WA MAGOMENI KAGERA DAR

  Mratibu wa Matukio ya Kijamii wa Taasisi ya Doris Mollel, Alice Mwakatika akikabidhi sehemu ya vyakula kwa mmoja wa wakazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema, iliyofanyika Juni 24, 2017.  Mkuu Msaidizi wa Kitengo cha Elimu …

SSRA Yawanoa Maofisa Habari na Mawasiliano Serikalini, Wiki ya Utumishi

  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Irene Isaka (katikati), akiwa katika dawati la mapokezi akimuhudumia mteja kwa sura ya furaha katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma jijini Dar es Salaam.    Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Bi. Irene Isaka (wa pili kulia), akimsikiliza mteja kwa makini.  Wafanyakazi wa SSRA …